Samsung Galaxy A50: Baada ya miezi 7, Je bado inafaa kununua?

Samsung Galaxy A50: Baada ya miezi 7, Je bado inafaa kununua?

Mullykim

Member
Joined
Sep 19, 2011
Posts
18
Reaction score
12



Hii ni Simu ya Samsung Galaxy A50, ambayo ni miongoni mwa simu za bei nafuu kutoka Samsung. Kwenye hiii video naelezea experience yangu ya kutumia hiii simu kwa miezi 7 ili na wewe uelewe kama unaplan ya kutaka kuinunua hii simu na pia kukupa ushauri wa vitu vya kuangalia katika hii simu.
 
Back
Top Bottom