Programming & toturials

Programming & toturials

Felixtz

Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
66
Reaction score
36
Ebana mambo vp wakuu, kulingana na mada tajwa hapo juu, wengi wanapenda sana kujifunza maswala mbalimbali ya nayohusu web programming kwa ujumla.

Waswahili nao hawakubaki nyuma walipodai "kizuri kula na mwenzio", isiwe kesi, ebana kuna group moja whatsapp linalojihusisha na maswala kama haya na hasa kwa upande wa programming kuna request nyingi mno.
So kama kuna yule ambaye anaeza kuwa na intrest ya kuhifunza au kujiendeleza, tafadhali jiunge leo ili tuweze kuwa pamoja.

Kumbuka, mafundisho yote ni buree kabisa, ila kuna maujanja mengine kwa kweli ukiyahutaji inabidi uingie mfukoni kidogo😉😉😉 au siyo

Basi bila shaka mi naachia link ya group then wewe kazi yako uingie, usome grup discription, pia kama una swali lolote unaeza uliza kwenye group then ukapata suluhisho. Shukran sana kunisikiliza na karibuni nyote.

Follow this link to join my WhatsApp group: 🖥📱skills &Tutorials🌐🌐✅
 
Programming & tutorials,
Skills & tutorials

Software engineering/development will still be harder in the next decade

Kazi kwelikweli
 
Back
Top Bottom