PHOTO BEST APP

karare

Member
Jun 4, 2019
31
8
WADAU MSAADA TAFADHALI
ni app gani nzuri ya kung'arisha picha ambayo imechafuka/imepigwa na simu ambayo camera yake haitoi photo vizuri?
 
Photoshop touch kama una idea na kutumia photoshop,

Kama sio mtaalamu sana google wana editor yao inaitwa snapseed ni nzuri pia.

Pia kuna trendy apps za kawaida kama picsart, photosuite, avira etc.
Kati ya hizi ni ipi ya kwanza au ya pili ?
Screenshot_2020-01-03-22-08-09-35.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raw ni nini hii brother

Sent using Jamii Forums mobile app
Fikiria raw kama mahindi, maharage, mafuta, maji etc na picha ya kawaida kama makande.

Simu ikipiga picha ya raw inakuwa na all possible details then ikishapiga lile file unalifungua kwenye software kama lightroom na kuseti unataka picha yako iwe vipi. Kwenye raw ile process nzima ya kutengeneza picha unaifanya wewe badala ya simu, kazi ya simu inakuwa ni kukutafutia tu hizo combination.
 
Back
Top Bottom