Blog yako inahusiana na nini? Weka affiliate links zinazoendana na contents za blog au uza e-books.
Ila kama watembeleaji wengi ni watz basi tumia media.net,ezoic(hii mpaka uwe na adsense), propeller ads nk zipo nyingi tu.
Pia tengeneza app kwa ajili ya blog halafu iunge admob.