Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Naomba kujuzwa juu ya hili?, Tulizoea ukininua Nokia,au Tecno,au Samsung, wakati wa kuiwasha ,kwenye main screen ya simu lilikuja neno moja tu, TECNO!.
2 Reactions
10 Replies
576 Views
Kama nilivyosema hapo juu, nchi yetu haina access za kununua game kwenye account za PlayStation. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikitafuta suluhisho la kununua hayo magame. Nasikia ukiwa Tanzania...
2 Reactions
41 Replies
2K Views
Asalaam aleykum Jamiyah, hapo awali kidogo ukinnunua simu dukani ilikuwa ni simu ambayo endapo ni Samsung, Nokia, tecno na kadhalika, wakati wa kuiwasha ilikuwa inakuja nembo halisi ya simu husika...
2 Reactions
7 Replies
817 Views
Soon kampuni ya INFINIX Toka Tanzania itaweza kuachia simu mpya ambayo inasemeka hii ndo itakua simu nyembamba mno Duniani. Ni simu nzuri ya kisasa yenye feature kedede ambapo ina kioo cha mkunjo...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Nipo natumia huduma ya Tigo postpaid, nalipia elf 60 kupata gb 80 kila mwezi (mikataba kwa wateja wapya imebadilika unapewa gb 72) Kifurushi hiki huwa kinajiunga chenyewe kila tarehe 1 ya mwezi...
17 Reactions
33 Replies
4K Views
Kupitia ripoti Mbalimbali simu mpya ya Nothing phone 3 inatarajiwa kuachiwa na kuanza kusambazwa ikiwa na feature kadhaa; ⚡ Kioo 6.7inch LTPO OLED ikiwa na resolution ya 1.5K ✔️ refresh rate ya...
2 Reactions
14 Replies
735 Views
Habarini wadau wa tech jamii Forums napenda kuwatakia maisha mema. Kuna hii simu inaitwa So what S25 Ultra nimejaribu kuiangalia na imenipendeza Sana maana Ina muonekano sawa na Samsung S25 Ultra...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni kampuni ya LG. Kuna maandishi yanasomeka lhd657 january 2023. Nimeifunga ndani kwangu cha ajabu inazidiwa mkito na hizi sabufa za kichina spiano Nimeinunua 700k. Pesa yangu inaniuma sana kwa...
20 Reactions
245 Replies
20K Views
Ni mjadala wa muda mrefu sana huu ambao unahusisha vifurushi tunavyonunua kuisha muda wake. sasa swali ni je mfano ukanunua MB 1000 kwa sh 2000/= na ukatumia MB 200 kifurushi kika expire huwa...
0 Reactions
7 Replies
508 Views
Tech word! Tecno spark 40 iliyozinduliwa June 2025 Ina muonekano (Extnl) sawa na iPhone 17 itakayo toka sep 2025! Je Nani kafanya copy and paste???
1 Reactions
11 Replies
627 Views
Natumaini hamjambo, ni muda mrefu kidogo sijatumia telegram nimekumbuka lile group la Xiaomi users tz nimedownload lakin sipokei verification code tatizo inaweza kua nini?
1 Reactions
81 Replies
5K Views
Wakati wengine wanangoja “wateja waje wenyewe,” walioamka wanawalipia wateja wao waje sasa hivi. Dunia haingoji tena, matangazo ya online ndiyo silaha ya kila mfanyabiashara mwenye akili ya...
1 Reactions
0 Replies
260 Views
Toleo jipya la Simu Toka TECNO iliyoweza kuzinduliwa Mwezi June Mwaka huu ambapo ni TECNO spark 40 imekuja ikiwa na muonekano wa kipekee sana. Ni Simu nzuri kwa vijana wanaokwenda na wakati...
1 Reactions
0 Replies
356 Views
VPN NI NINI? VPN ni kifupi cha Virtual Private Network. Ni encrypted tunnel kati ya vifaa viwili ambayo inakuwezesha kuingia kwenye kila website na huduma nyinginezo za mtandaoni privately na...
27 Reactions
84 Replies
24K Views
Inawezekana ndio unaanza kutumia programu ya WhatsApp au hata pengine ulikua unatumia programu hiyo kwa miaka mingi sasa, lakini pia inawezekana ulikua unakosa kutumia programu hiyo vizuri kwa...
12 Reactions
18 Replies
6K Views
Wadau mimi nina tatizo moja. Tupo kwenye group la ukoo lina mambo mengi na watu wengi. Sometimes nakuwa busy sitaki kujihusisha na mambo yake. So huwa kama vipi nasoma tu text kama ni muhimu...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Wakuu huwa siielewi Oppo mara nyingi huwa naona ana mcopy sana iPhone. Tofauti ni operating systems tu. Ila vingi Oppo anacopy kutoka iPhone. Hata ukicheki muundo hadi displays ndani iphone iPhone.
3 Reactions
30 Replies
5K Views
Habari wakuu, Nilikua namiliki simu aina ya google pixel 3a nikaamua ku upgrade kwenda kwenye google pixel 4a 5g, Baada ya kuinunua simu hiyo nikaikuta inatumia plrogram endeshi yaani android...
4 Reactions
32 Replies
7K Views
Wadau wazoefu,nina kijana wangu yupo kidato cha 6,nataka nimnunulie laptop kwa ajili ya matumizi yake,nikizingatia kuwa mwakani anaweza kujiunga na chuo kikuu,je ni laptop ipi,yenye uwezo upi...
1 Reactions
6 Replies
527 Views
Kitabu kinaitwa mobile phone repairing soft copy mwenye nacho naomba
1 Reactions
4 Replies
407 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…