Oppo ana copy sana kwa iPhone

Oppo ni simu bora kuzidi hata hio iPhone katika segment. Ku Copy kila mtu ana Copy hapo china sababu kuna simu nyingi ila form factor inafanana kinachotofautisha ni hardware za ndani tu ila muonekano ni ule ule.
Ni vitu gani ambavyo vinafanya oppo kuwa bora kuliko apple?
 
Ndo maana nimekuuliza sijui kuhusu snapdragon inabidi unieelweshe kuhusu oppo yenye SoC kama Bionic A14.
Bionic A14 ni latest SoC ya simu ambayo imetoka juzi tu iPhone 12.

Lets compare simu ambayo ni flagship oppo Find x2 pro ambayo yenyewe ilikuwa ina suprass iphone 11 max pro in every aspect. Snapdragon 865 ndio Soc ambayo iko katika hio oppo ambayo ni better than bionic a13 iliokuwa sokoni previously.
 
Kwa hisani ya Oppo A3s nathubutu kusema Oppo wameoptimize vizur sana android katika simu zao.

ColorOS ni safi sana.

Cc. Hios tecno
emoji849.png
emoji849.png
emoji849.png
emoji849.png
Hio simu iko bomba sana, tecno itasubiri sana!
Kwa hisani ya Oppo A3s nathubutu kusema Oppo wameoptimize vizur sana android katika simu zao.

ColorOS ni safi sana.

Cc. Hios tecno
Oppo ni simu pambe sana, hapo Tecno watasubiri sana yani. Oppo iko smooth kama nyoya la njiwa,😎
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom