Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,703
Guys watu wengi hua mnasikia terminologies yani 2G, 3G Mara H, H+ au E etc, Je, maana yake ni nini kwenye network?
Kwa kifupi ni speed zinazotumika kusafirisha data kwenye internet ambapo zinatofautiana uwezo kutokana na teknolojia:
1. Letter G stands for GPRS (General Packet Radio Service) na ndio first generation ya mobile phone technology.
Hua inamaanisha spidi ya internet yako ni ndogo sana (86kbps)
2. Letter E stands for EDGE (Enhanced Data Rates for GSM evolution) hua inamaanisha speed ya internet yako ni ndogo ila ina afadhali kidogo kuliko G(236kbps)
3. Letter 2G (Second Generation)
Ni generation ya pili ya mobile phone technology ambayo nayo inatumia GPRS system lakini speed yake ni kubwa kidogo than letter G, (154kbps) ila ni ndogo than letter E yaani ipo katikati ya G na E.
4. Letter 3G (Third Generation of mobile technology)
Inatumia UMTS & imebase kwenye GSM system, na ina speed kubwa kuliko hizo (speed yake 386kbps)
5. Letter H stands for HSPA (High Speed Packet Access)
Ni muendelezo baada ya 3G ambayo ina speed kubwa (like 3.2 Mbps)
6. Letter H+ stands for enhanced HSPA, Yaani hii ina speed kubwa zaidi ya H kama nilivyoielezeainauwezo wa kutransfer data up to 7.2 Mbps, ndio inayotumika kwenye simu nyingi nowadays.
7. Letter 4G (Fourth Generation of Mobile phone Technology) pia inajulikana kwa jina la LTE (Long Term Evolution).
Model hii ndio current kwa sasa ambayo inatumia H+so itakuwa na speed kubwa zaidi (like 14.4mbps to 21mbps)
8. Letter WCDMA stands for Wide-band Code-division Multiple Access.
Inatumia teknolojia ya 3G ila imeongezewa GSM ambayo inaiongezea speed ya kusafirisha data na ndiomaana simu nyingi zimeitumia kabla ya kuja kwa 4G.
Its All about Network Evolution!!

ngoja nikusahihishe kidogo
-edge na gprs zote ni 2g, yaani ndani ya 2g kuna technology mbili edge na gprs, pia cdma ni 2g
-generation ya kwanza yaani 1g haikuwa na internet kabisa ni msg na kupiga tu
-3g inacontain wcdma/hspa/hspa+/ev-do/umts etc
-hspa ndio ilikuwa na speed hadi 7.2mbps na h+ inafika mpaka 42mbps
-4g yenyewe inaenda mpaka 600mbps na sio kweli kwamba ni 14 mpaka 21mbps
-wcdma ipo slow kushinda hspa na hspa+ ilikuwa ni 3g ya mwanzo siku hizi inatumika tu kama standby
-gsm ni jina la jumla la Edge, Gprs,wcdma, hspa, hspa+ lte nk na sio kwamba ina enhance wcdma, kuna technology kuu mbili za line za simu gsm na cdma. gsm ni hizo nilizozitaja na cdma kuna cdma, cdma2000, ev-do nk
Hizi teknolojia zinachanganya watu sana...
Kwa hapa kwetu tulikuwa tunatumia GSM(Global System for Mobile network)inatumia F&T DMA(Frequency&Time Division Multiple Access) hii ilikuwa maalum kwa ajili ya Sauti na baadae ikaboreshwa na kuweza kupitia Edge na Gprs ambayo kwa ujumla inaitwa Kizazi cha pili yaani Second Generation2G .
Pia kuna teknolojia nyingine inaitwa CDMA ambayo inatumiwa na baadhi ya makampuni hapa nchini kama Ttcl hii teknolojia ni tofauti na ile ya Gsm ambayo watumia makampuni kama Tigo,Airtel n.k hii nayo ina kizazi cha pili ama cha tatu(2G or 3G)kwa cdma 2000 na cdma 2000 1xEvdo.Pia Gsm wakaendelea na maboresho na kutoa teknolojia ya kizazi cha tatu 3G kwa kutumia teknolojia ya W-cdma/Umts hii ni maalum kwa ajili ya data.Mabadiliko yote ya teknolojia yanatokana na uhitaji mkubwa wa data kwa kutumia simu za mkononi ndio ikapelekea kuwe na maboresho ya hizi teknolojia ambazo kila kukicha zinazidi kukuwa kama unavyoona toka 2G, 3G, 4G.
Kwa upande wa sauti yaani(Voice) hakuna mabadiliko makubwa kwasababu teknolojia zote zimeendelea kutumia mfumo uliopo bila kikwazo.Kwa mfano teknolojia ya 3G imeendelea kutumia Gsm teknolojia kwa sauti na kuboresha upande wa data kwa kuongeza kasi ya data ili kumpa mtumiaji uwezo wa kupakua ama kupakia data kwa urahisi.