Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Je, Kuna Drive Inayokosekana Kwenye Windows? Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuitatua Umejaribu kufungua moja ya drive kwenye kompyuta yako lakini ukaona haipo kabisa? Hata ukitafuta kwenye File...
0 Reactions
0 Replies
243 Views
Laptop Gani Inafaa Kwa Kazi Yako? Usinunue Kabla Hujasoma Haya Mambo 7 Muhimu! Kama unavyonunua mashine kwa mgodi au mtambo kwa kiwanda, laptop pia ni zana ya uzalishaji. Si mapambo. Lakini watu...
1 Reactions
2 Replies
624 Views
Wakuu nisaidieni kuelewa kuhusu hili Kuna emergency hela inatakiwa haraka sana, Natuma Halo Pesa kiusahihi kabisa bila kukosea halafu hela haifiki ilikotumwa na kwenye acc hela imetoka Unapiga...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Natatengeneza tovuti (website) za makampuni, biashara, watu binafsi na n.k. hii tovuti (website) nilimtengenezea mwanajamii forum anaitwa Meneja wa Kampuni japo kwa Sasa haipo mtandaoni (online)...
1 Reactions
9 Replies
460 Views
Tukiwa tunasubiri ujio wa Toleo jipya la Samsung aina ya A57 5G ambao inaweza kupelekwa sokoni desemba 2024 mpaka January 2025. Hii itakua A series ya kwanza kuleta ushindani dhidi ya "iphone...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarini!. Anayefahamu makato ya kuhamisha pesa kutoka paypal kwenda benk iliopo Tanzania anifahamishe please,
1 Reactions
50 Replies
7K Views
PayPal has been the go-to payment solution for personal use for many years, but there are now several alternatives available. These alternatives offer a variety of features, fees, and capabilities...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Huduma gani unahitaji ya IT? website Computer blog social media N.k Napatikana: Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
1 Reactions
10 Replies
429 Views
Habari wataalamu wote. Kuna mfumo unaitwa STUDENTS INFORMATION SYSTEM (SIS) Unaoweza Kuwa na features kama vile; 1. Students admission 2. Staff management 3. Classroom management 4...
0 Reactions
0 Replies
301 Views
Hii simu ilivunjika display kama miezi minne iliyopita. Jana nikaweka kioo kipya. Simu inawaka vizuri ila inadai niweke PIN ambayo naweka ila inaniandikia Pin required after divice restarts. Nikii...
3 Reactions
8 Replies
430 Views
Naitaji kununua na nimeiona dukani ila ni simu za mda mrefu sana, so najiuliza na naomba mnisaidie watu wa tech, je ni bora na zinafanya kazi vizuri tu au ninunue tecno ya elfu 20?!
2 Reactions
6 Replies
425 Views
Unataka kuangalia nyumbani kwako ukiwa kazini au shuleni? Hakuna haja ya kununua CCTV ya bei ghali! Tumia simu ya zamani kama kamera ya ulinzi kwa kutumia app moja rahisi sana: App: Alfred...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu mwaka 2025, zana za akili mnemba (AI) imechukua kasi kubwa kwenye kazi zetu za kila siku kuanzia kuandika, kutengeneza picha, hadi sauti na mawasilisho. swali kubwa linabaki: Je, ni bora...
17 Reactions
35 Replies
3K Views
Jinsi ya Kubadilisha Apple ID Email Yako — Hatua kwa Hatua Bila Stress (2025 Guide) It's MalekoGJ Kama wewe ni mtumiaji wa iPhone, iPad au huduma nyingine za Apple kama iCloud, iMessage na App...
0 Reactions
0 Replies
474 Views
Amani iwenanyi 🤝🏽: >Shirika la utafiti wa ulinzi la Marekani (DARPA) limefanikiwa kutuma umeme wa 800 watts kwa umbali wa zaidi ya kilomita 8 bila kutumia waya wowote. Mradi huu wote umefanikiwa...
0 Reactions
4 Replies
310 Views
Habari JF: Nataka kusajili Paypal kwa namba ya Oman nikiwa Tanzania, ila nikishafika kwenye kipengele cha kuweka namba ya simu nikiiweka na kuruhusu hatua inayofuata haiendelei, yaan niki click...
3 Reactions
11 Replies
661 Views
Guys Leo nimeona nizungumzie kuhusu air defense system ambazo Rwanda Wana deploy. Asilimia kubwa ya system ambazo ziko public Rwanda anazinunua zinatoka Russia lakini watz wengi wamekua na hofu...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Huna haja ya kuinstall software kila PC Ama kama kila mara ku-install software ukibadilisha computer, Hata nikiazima PC ya mtu huwa natumia software zangu kama zilivyo Kuna life hack ya techies...
2 Reactions
2 Replies
545 Views
Utangulizi Pi Coin ni mradi wa kifedha ambao umepata umaarufu mkubwa tangu ulipoanzishwa mwaka 2019. Wanaounda Pi Coin wanadai kuwa ni sarafu ya kidijitali inayoweza kuchimbwa (mined) kwa kutumia...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna mambo kadhaa ambayo yanaathiri download speed yako au more generally your internet speed. leo hapa nimeamua ku share some tips and tricks ambazo zinaweza kukupunguzia maumivu...
6 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom