Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

simu za mkopo Hizi ni simu ambazo watu ukopeshwa yaani ulipia kiasi kidogo na kilichobaki ulipia kidogokidogo wanapotumia simu zao yaani zimwekewa mfumo ambao ili utumie lazima ulipie kiasi fulani...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Zamani, dunia ya software development ilikuwa kama mji usio na ramani. Kila developer alikuwa akijenga daraja lake mwenyewe kuunganisha tools, APIs, na frameworks. Kila API ilikuwa kama mlango...
0 Reactions
3 Replies
299 Views
Urahisi wa Kidijitali Unaokuja na Hatari Zake Katika dunia ya sasa ya kidijitali, QR codes zimekuwa sehemu ya maisha yetu ya kila siku. Zimeenea kwenye menyu za migahawa, mabango ya matangazo...
1 Reactions
0 Replies
315 Views
Mfano niliwahi kusikia system administrator wa Chuo kazi yake kwa kiasi kikubwa ni kuangalia tu system haina matatizo (Monitoring), Anapata muda mwingi wa kupumzika, anawahi kuondoka na mshahara...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Nimekutana na kauli nzito ya mjasiriamali wa teknolojia Isaya Yunge kuhusu changamoto wanazokutana nazo wabunifu wa Kiafrika katika zama mpya za Artificial Intelligence (AI). Amesisitiza kuwa AI...
1 Reactions
8 Replies
458 Views
Peugeot ni kampuni ya Kifaransa inayodili na utengenezaji wa magari ya umeme. Kwenye picha ni gari aina ya Peugeot e 3008 New Model (2024) SPECIFICATIONS ZAKE ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ Dimensions: 4,542 mm x 1,895 mm...
1 Reactions
5 Replies
536 Views
What is the 'gentle singularity' of Sam Altman the CEO of OpenAi? by Marco Trabucchi 13 June 2025 SAM ALTMAN, CHIEF EXECUTIVE OFFICER, OPEN AI ChatGpt's dad outlines a scenario where...
0 Reactions
1 Replies
439 Views
Browser ya Google chrome ni apps maarufu ulimwenguni karibu watu wengi tunatumia hii apps kwenye vifaa Mbalimbali kwani ni nyepesi, ufanisi Bora, muonekano wake wa kuvutia nk. Lakini Kuna apps...
3 Reactions
0 Replies
463 Views
Hizi sio ndoto Tena au Zile movie za kisayansi (Sci-fi) ni maisha Halisi Sasa ambapo Makampuni makubwa Mbalimbali yameleta Teknolojia tishio ambazo zitakazokuja kutikisa Dunia. Kampuni Mbalimbali...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
AI Chatbots Wanaweza Kukufuatilia โ€“ Isipokuwa Hii Moja Lumo Chatbot ya Kipekee Inayolinda Faragha Yako kwa Kiwango cha Kitaaluma Je, umewahi kujiuliza mazungumzo yako na chatbot yanaishia wapi...
0 Reactions
0 Replies
258 Views
Naona nyingi ni U7K na kwa uchache U6N.
0 Reactions
0 Replies
207 Views
Habari zenu wakuu, kwa wataalam wa simu nina Simu Ya Samsung A5 inajizima inapopata ubaridi sana sana nyakati za usiku na ikashajizima inasumbua kuwaka yani nikiiwasha inaishia kwenye logo ya...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Email yangu haileti notifications moja kwa moja ila niliingia kwenye app yenyewe nazikuta shida inaweza kuwa nn labda
0 Reactions
1 Replies
194 Views
Internet Download Manager 2025 Free License Key . Download Now: Click Download Now Button & Go-to Downloading Process - Pcwaredownload
0 Reactions
1 Replies
385 Views
Zamani, kupata pesa ilihitaji uanze na mtaji mkubwa, duka la mtaa au hata leseni ya biashara. Sasa sivyo tena. Dunia imebadilika. Leo, unaweza kutengeneza pesa mtandaoni ukiwa nyumbani โ€” hata kwa...
1 Reactions
1 Replies
936 Views
Redmi 13C. Redmi 14C Aquos sense 7 plus (used) Natanguliza shukrani๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
1 Reactions
7 Replies
665 Views
Habari zenu! Kama wewe ni programmer au una ndoto za kuwa mmoja wa programmer, huu ndio uzi wako! Hapa tunasaidiana, tunashauriana, na tunahamasishana. Kama unakutana na changamoto yoyote kwenye...
9 Reactions
184 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ