SIM
JF-Expert Member
- Oct 25, 2011
- 1,796
- 1,309
Habari zenu wakuu, kwa wataalam wa simu nina Simu Ya Samsung A5 inajizima inapopata ubaridi sana sana nyakati za usiku na ikashajizima inasumbua kuwaka yani nikiiwasha inaishia kwenye logo ya Samsung na kujizima. Na haiwaki tena mpaka niiweke sehem yenye joto ipate joto ndio iwake. Kwa waatalam wa simu shida inaweza kuwa ni nini hapa.