Share picha uliyotengeneza kwa AI (Akili Mnemba)

KENGE 01

JF-Expert Member
Mar 12, 2021
1,592
3,839
Anaandika bwana Kenge,

Hivi karibuni kumekuwa na picha nyingi zilizotengenezwa kwa AI(Artificial Intelligence).Licha ya kwamba Technolojia hii sio ngeni sana lakini imezidi kukua kwa kasi na kuonekana na Tija kwenye sekta ya Technology.

Muongozo jinsi ya kutengeneza picha za AI.
Sasa Tutaangalia Muongozo ili kila mtu aweze kutengeneza kitu anachokifikiriabna kukigeuza kuwa picha.Zipo Site/App nyingi zinazoweza kutengeneza picha hizi na zipo za Kulipia na za Bure.Tutazidi kupeana njia mbalimbali kadri ya muitikio wa wataalamu ndani ya Uzi huu.

MIcrosoft Bing AI.
Kama ni mtu wa Tech utakua unajua kwamba AI kwa kiasi kikubwa inachangiwa na Kampuni ya Microsoft..Kupitia Microsoft walizindua AI yao ambayo unaweza kutengeneza picha kwa maandishi(Prompt)

Twende Step by Step

1.Fungua browser yoyote(Chrome itafaa zaidi)

Hatua ya kwanza inabidi ufungue Browser yoyote
Picsart_23-11-12_16-48-28-491.jpg

2.Nenda kwenye 'Settings'kisha nenda 'Search engine'
Picsart_23-11-12_17-01-42-646.jpg

3.Chagua Bing kwenye 'Search Engine'

Chagua search engine ya Bing
Picsart_23-11-12_17-09-01-799.jpg

4.Seach "Bing Ai Image generator"
Kabla hujaenda inabidi utengeneze account ya Microsoft ambayo utatumia kulog-in kwenye Bing AI .
Picsart_23-11-12_17-12-18-799.jpg

5.Fungua Bing AI na Log in kwa account yako ya microsoft.
.Baada ya ku-login utaona sehemu ya kuandika prompt..Kwa kifupi prompt ni kama Command na ndivyo AI inavyofanya kazi.kwahiyo utaandika prompt ambayo ni kitu unachofikiria(imagine) kukileta kwenye picha.
Picsart_23-11-12_17-14-11-750.jpg

6.Weka maneno unayotaka kuwa picha.

Sio lazima lakini unatakiwa kuanza na aina ya picha unayotaka mfano "A photo" au "A realistic image" itatokea picha yenye uhalisia wa mtu..Au "A cousmic" itatokea picha za katuni kwa mfano hapa chini kutokana na mvua zinazoendelea nikapata wazo la kutengeneza picha inayoonesha Mji umeharibika kwa Mafuriko yatokanayo na Mvua
Picsart_23-11-12_17-18-17-357.jpg

Utaletewa picha nne utachagua uipendayo na unaweza kuzidownload.

Pia kwa siku unapewa nafasi ya prompt 15 tu
Picsart_23-11-12_17-20-09-827.jpg

Kama Ngeli haipandi unaweza kuandika kwa kiswahili na kucopy google Translator na kupaste Bing AI kwa sasa inasapot lugha chache sana
Picsart_23-11-12_17-16-31-401.jpg

Hii prompt ya Ticha Mpwayungu akiwafundisha wanafunzi waliovaa sare za JF..Ikaleta picha zifuatazo
_5ee84a48-6626-4fe6-a61a-04096ebe423e.jpeg

_2dd875d6-0a77-4ee4-a61a-19eb91e605e7.jpeg

Nawasilisha...
Share picha Uliyoitengeneza kwa AI?
 
Anaandika bwana Kenge,

Hivi karibuni kumekuwa na picha nyingi zilizotengenezwa kwa AI(Artificial Intelligence).Licha ya kwamba Technolojia hii sio ngeni sana lakini imezidi kukua kwa kasi na kuonekana na Tija kwenye sekta ya Technology.

Muongozo jinsi ya kutengeneza picha za AI.
Sasa Tutaangalia Muongozo ili kila mtu aweze kutengeneza kitu anachokifikiriabna kukigeuza kuwa picha.Zipo Site/App nyingi zinazoweza kutengeneza picha hizi na zipo za Kulipia na za Bure.Tutazidi kupeana njia mbalimbali kadri ya muitikio wa wataalamu ndani ya Uzi huu.

MIcrosoft Bing AI.
Kama ni mtu wa Tech utakua unajua kwamba AI kwa kiasi kikubwa inachangiwa na Kampuni ya Microsoft..Kupitia Microsoft walizindua AI yao ambayo unaweza kutengeneza picha kwa maandishi(Prompt)

Twende Step by Step

1.Fungua browser yoyote(Chrome itafaa zaidi)

Hatua ya kwanza inabidi ufungue Browser yoyote
View attachment 2811769

2.Nenda kwenye 'Settings'kisha nenda 'Search engine'
View attachment 2811773

3.Chagua Bing kwenye 'Search Engine'

Chagua search engine ya Bing
View attachment 2811789

4.Seach "Bing Ai Image generator"
Kabla hujaenda inabidi utengeneze account ya Microsoft ambayo utatumia kulog-in kwenye Bing AI .
View attachment 2811781

5.Fungua Bing AI na Log in kwa account yako ya microsoft.
.Baada ya ku-login utaona sehemu ya kuandika prompt..Kwa kifupi prompt ni kama Command na ndivyo AI inavyofanya kazi.kwahiyo utaandika prompt ambayo ni kitu unachofikiria(imagine) kukileta kwenye picha.
View attachment 2811784

6.Weka maneno unayotaka kuwa picha.

Sio lazima lakini unatakiwa kuanza na aina ya picha unayotaka mfano "A photo" au "A realistic image" itatokea picha yenye uhalisia wa mtu..Au "A cousmic" itatokea picha za katuni kwa mfano hapa chini kutokana na mvua zinazoendelea nikapata wazo la kutengeneza picha inayoonesha Mji umeharibika kwa Mafuriko yatokanayo na Mvua
View attachment 2811797

Utaletewa picha nne utachagua uipendayo na unaweza kuzidownload.

Pia kwa siku unapewa nafasi ya prompt 15 tu
View attachment 2811816

Kama Ngeli haipandi unaweza kuandika kwa kiswahili na kucopy google Translator na kupaste Bing AI kwa sasa inasapot lugha chache sana
View attachment 2811826

Hii prompt ya Ticha Mpwayungu akiwafundisha wanafunzi waliovaa sare za JF..Ikaleta picha zifuatazo
View attachment 2811828

View attachment 2811829

Nawasilisha...
Share picha Uliyoitengeneza kwa AI?
Ahsante kwa somo zuri sana.
 
Back
Top Bottom