Wakuu kwema poleni mihangaiko ya kutafuta ugali wetu wa Kila siku
Basi Nimepata Kalikizo nkaona isiwe kesi Wacha nivute game nicheze kwenye laptop yangu (gaming PC GTX 1050)
Nikaweka uncharted...
Habari wana jm.
Juzi katika pitapita zangu uko youtube nilikutana na video moja ya jaamaa anaitwa () ni mbongo mwenzetu alikua akielezea zofauti ya IT na cybersecurity ase niliumia sana🥲🥲...
Nimezitumia Iphone kwa mudamrefu, nilikuwa sisikii wala sioni simu nyingine nje ya iphone, ila baada ya kuhamia android sijioni kabisa nikirudi nilikotoka.
Simu za android hapa nazoziongelea ni...
“Kariakoo sio soko. Ni vita ya akili. Wachache wanaotoka na faida ni wale wanaojua wapi pa kuchimba.”
— Sehemu ya maneno niliyosikia kwa fundi mmoja nikiwa nimepotea Kariakoo mwaka 2019...
Kwenye tovuti ya Android authority, imetoa Ripoti kuhusu toleo jipya la Simu toka Google Inaitwa Google Pixel 10 Series' iliyotoka wiki kadhaa zilizopita lakini baadhi ya watu Mbalimbali...
Mbeya University of Science and Technology (MUST)
Hiki chuo mnakifahamu? Moja ya vyuo vyenye watu magenius hapa Tanzania ni pamoja na hiki chuo. Ubunifu unaofanyika kwenye hiki chuo unaweza sema...
Habari wana jf!
Kama kichwa kinavyosema! Je nawezaje kuanza biashara ya web hosting?? Ni vitu gani nitahitaji? Na gharama ni shilingi ngapi??
Je ni options gani ntakua nazo? Nikihitaji kuwa na...
MUHIMU: UZI HUU SIO WA KUKUMBUSHANA COMPUTER GAMES
Binafsi nilianza kwenda Internet cafe 2002, computer zilikuwa zenye visogo 😂 .
Mitanado maarufu kwa hapa bongo ilikuwa ni Marafiki.com na...
kuanzia 2003 nikiwa bado shule ya msingi niliweza kuujua ulimwengu wa internet kupitia internet cafe ya mjomba, ilikuwa biashara inayolipa vizuri enzi hizo, Enzi hizo kuunganishwa internet uwe na...
Habari wanafamilia wenzangu naomba msaada namna ya kuseti configuration ya wifi zinazopokea laini zote, nikiweka laini na kulog in inakubali ila inanipa ujumbe wa connected without internet lakini...
💭 Kwa muda wa miaka mingi toka mwaka 2022 tulikua tunasubiria juu ya toleo jipya la Simu ya Samsung inayojikunja mara tatu Hatimaye septemba to remember bhana!!!
💭 Ripoti inaonyesha kampuni ya...
Ijue Teknolojia ya Blockchain & Decentralized Internet
Katika ulimwengu wa leo, karibu kila kitu cha kidijitali kinadhibitiwa na watu wa kati (central authorities), iwe ni mitandao ya kijamii...
Wakuu na wadau wa jukwaa hili la Tech habari ya majukumu?
Kama mdau mwenzenu kwenye upande huu nimekuja kuomba kusaidiwa namna naweza pata mwongozo.
Nimekutana na challenge ambayo katika software...
ULIMWENGU WA SASA MATUMIZI MAKUBWA NI YA ARTIFICIAL INTELLIGENCE (ROBOT) NOW WHATSAPP KUNA ROBOT MAARUFU KAMA WHATSAPP BOT.
""baadhi ya features zilizopo kwenye whatsapp bot""
1. VIEW STATUS...
Hakika Dunia na maajabu yake kutana na jamaa mmoja toka YouTube aliweza kununua gari la buggati kwa Dola zaidi milioni $5,000,000 na kuletewa gari likiwa tupu bila Engine.
Anaitwa Virginia ni...
Chapa ya kimataifa ya Simu Kali za kijanja TECNO wameingia ushirikiano na kampuni ya DXOMARK kuweza kutambulisha Teknolojia mpya kwa kuzindua maabara ya kwanza ya kupiga picha Kali za Automatiki...
Habari wadau wa Jamiiforums! Mimi ni mtaalamu wa usalama wa mtandao (cybersecurity) kutoka Tanzania, na leo nataka tuzungumze kuhusu tukio la hivi majuzi la udukuzi nchini Kenya ambalo linapaswa...