Njia 5 za kuwa salama ukiwa Mtandaoni faragha ya Mtumiaji
Kumbuka - Hakuna usiri uwapo Mtandaoni kwa sababu huenda kuna mtu au mfumo unakufuatia uendapo na ufanyacho.
Njia za kuwa salama ni...
Nimetengeneza Blog inayousiana na Mambo ya Utalii iyo apo chini mimi naona iko poa tu sijui nyinyi wataalamu mnaonaje tazama blog Yenyewe apa Tourism In African Country niweka na domain...
Pole na majukumu Wana jukwaa. Wale wenye uzoefu juu ya hizi mashine naomba ufafanuzi juu ya namna zinavyotofautiana katika kufanya kazi. Ipi Ni Bora na kwann?. nilishawahi kutumia canon 2520 Ila...
Umoja wa nchi za Ulaya (EU) wameamua ifikapo mwaka 2024, watengenezaji wa simu zinazotumiwa ulaya watengeneze simu zitakazotumia Pini ya charger ya aina moja na Pini yenyewe waliyoamuru itumike ni...
Nimejikuta siwezi kudownload movie kama nilivyozoea baada ya kufungia zile site za kudownload movie hata vpn niliyokuwa nikitumia wameipiga kitofa je wajuzi hapa tufanyeje kuruka kiunzi hiki ili...
Nahitaji simu ya bei ya kawaida tu lakini iwe na camera kali kiasi ukimpiga mtu picha amevaa nguo unaona mpaka ndani na kama ni mwilini hadi unaona viungo vilivyoko ndani maini, figo,firigisi...
Kama umekuwa ukiumiza kichwa, namna ambavyo utaweza kutengeneza website ya kisasa ya biashara yako, basi leo kupitia nakala hii ntakuonesha hatua kwa hatua jinsi ambavyo utaweza kutengeneza...
Wakuu kwa nyie mnaotumia huduma ya vodacom supakasi baada ya malipo mlikaa siku ngap mkafungiwa huduma sisi tuna wiki mbili tunapigwa Kiswahili tu au ndio mkono mtupu haulambwi. Tuma email...
Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Kama mada tajwa hapo juu naomba kuelekezwa jinsi ya kuzifanya video za facebook zisicheze au kuonyesha bila ruhusa yangu.
Hili jambo...
Nikifungua uzi mmoja napelekwa kwenye Uzi mwingine.
Mfano nikifungua/niki click uzi huo wa Forum ya JF Store, unafunguka uzi wa forum nya Ujasiriamali.
Badala yake unafunguka uzi huu hapa Chini...
Haitoshi kusoma specs za simu kwenye gsmarena, naomba kwa wazoefu WA simu, kunijuza zaidi kuhusu hii simu ya Royole Flexpai 2, interns of ubora wake, na changamoto zake kabla sijafanya maamuzi ya...
Tafuta App inaitwa GLASSWIRE, pakua ndani ya hiyo App utaweza kujua App gani inakula sana MB zako,
utaweza kublock App zote za kwenye simu yako zisitumie MB hata kama data iko on, unaweza kuset...
Habari,
Neuralink ni kampuni inayomilikiwa na Elon Musk ambayo ilianza project zake mwaka 2016, na moja ya project yake kubwa ni upandikizaji za 'chip' kwenye ubongo wa binadamu ili kurahisisha...
Kuwa makini na mitandao ya kuwekeza pesa ili upate pesa kuanzia SME , IDEA DEBATERS ziko nyingi hizo ni baadhi hawa jamaa ni matapeli na watu wengi wanaibiwa bila kujijua.
Ubaya wake mnaweza...
Ni Tv flat screen , mwanzo ilkuwa vizuri tuu Ila saivi nikiiwasha kwa kutumia remote control kamanilivyokuwa nafanya mwanzo. Saivi ile rangi ya taa nyekundu ilokuwa inageuka kuwa bluu baada ya...
Habari wakuu. Nimeshauriwa na developer kutengeneza PWA. App yetu ni ya kusomea vitabu. Kabla ya wiki hii sijawahi sikia hii kitu. Nimefanya research nimeona ni kitu kizuri sana.
PWA ni websites...