Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

  • Question Question
Nina uelewa mpana kidogo juu ya html na CSS ila ni mgeni kweny js na php Kweny practice zangu upande wa forms hua natumia attribute ya required ili kufanya validation lakin naona kama sio unyama...
1 Reactions
4 Replies
794 Views
Wakuu wangu me nimehitimu kidato cha Nne na natarajia kusoma IT napenda sana mambo ya technology. Je nikwavipi naweza kuwafikia watu wengi zaidi kupitia mtandao na technology kwa ujumla???
0 Reactions
0 Replies
319 Views
Nahitaji kutunga uwezo wa Python ambao unachukua msururu wa kamba kama ugomvi wake. Uwezo unapaswa kuchapisha kamba hizo kwenye muhtasari ambao una kama vifungu vidogo vitu vyote vinavyozingatiwa...
1 Reactions
4 Replies
673 Views
Mtaalamu mmoja wa masuala ya Cyber ameichunguza na kugundua kuwa searching engine ya google ina mchezo wa kupuuzia maneno yako unayoandika ili kusearch na kukupa matokeo ya vitu vinavyotrend hata...
2 Reactions
5 Replies
861 Views
TV Ipi ya flat screen imara kati ya singsung, sumsung, na Zec.
1 Reactions
43 Replies
13K Views
Nilinunua chaja aina ya Excellent miezi miwili iliyopita nikiamini itanifaa hasahasa kwenye upande wa fast charging. Na kweli kwa kipindi cha mwezi wa kwanza niliyoitumia ilikua inajaza 100%...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Tuesday, July 19, 2022 A study by researchers in the Middle Eastern country of Qatar revealed that natural immunity is 97 percent effective against the Wuhan coronavirus (COVID-19), even after...
0 Reactions
1 Replies
683 Views
Tablet yangu Ni LINX inazngua ghafla nnawasha inaishia kusema startup.nsh nakudai shell command nnajarbu ku reset na kunarbu ku boot nnakwama nnaomba msaada.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Shemeji baada ya kuona namtengenezea mazingira mazuri ya ndoa yake na Sister akaona simu yangu imechoka sana..hapa naandika nikiwa nmei connect kwenye charge moja kwa moja. Mtu akinitingisha tu...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Baada ya kushindwa kununua galaxy S10e kwa sababu ya bei,nimepata pesa kidogo ninayoweza kununua simu hizi; 1.Honor 10 lite 2.Huawei y7 pro 3.Redmi note 8 4.Lenovo z6 lite 5.Realme q Naimba kwa...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Hivi inawezekana kuview Browsers kuingia kwenye Browsers mbili kwenye PC mfano Google na FireFox bila zenyewe kuonekana kwenye Screen kwa pale Chini? Yani I mean inawekana mtu kuview Browser...
0 Reactions
9 Replies
633 Views
Wakuu habari za Jioni? Nina simu ya Sumsung S8+ huwa inakawaida ya kuzima mziki baada ya light ya desplay kuwa out (off). Au hata ikiwa connected kwenye blottooth. Natanguliza shukran.
0 Reactions
10 Replies
708 Views
Habari JF, Ninatumia simu tajwa hapo juu, shida ni kwamba ina ji-restart lakini bettery hearth maximum capacity 100% ukichaji fasta inajaa mapema na kuisha ni fasta. Hapa shida ni nini?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
List hii ya simu 10 bora kwa camera ni kwa mujibu wa DXOMARK. Bila ya kupoteza muda tuanze na namba 1 HUAWEI MATE 40 PRO Huawei Mate 40 Pro is officially announced on October 22, 2020. The...
3 Reactions
43 Replies
16K Views
Habari naweza tumia internal HDD ya laptop kwenye desktop kama extenal HDD? Nina dell optilex 7020 core i7 je naweza kuongeza internal HDD 2TB na isilete shida maana nimesikia hdd kubwa zinaua cpu
0 Reactions
9 Replies
789 Views
Wakuu nina LGk51 haisomi lain za tanzania kwa yeyote ambae anaweza kufrash isome lain za Tanzania imetoka ujerumani wakuu
0 Reactions
0 Replies
292 Views
Naomba kujua Kuna tofauti ya ulaji wa unit Kwa mita za zamani na mpya za rea?nazungumzia matumizi ya unit kwisha ni sawa.kwamba zote mbili nimeeka unit 5 matumizi ni sawa.uishaji unalingana?
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimebahatika kuona nyuzi mbalimbali zikiponda simu zinazotumia chipset za MTK na wakisifia simu zinazotumia chipset za snapdragon au Qualcomm Naomba mnijuze...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
katika C, ni ipi njia halali ya kuangazia jumla-kama printf ambayo itachapisha tu wakati alama ya DEBUG imefafanuliwa? #ifdef DEBUG #define DEBUG_PRINT(???) ??? #else #define DEBUG_PRINT(???) ...
0 Reactions
0 Replies
534 Views
US Democrats have urged the FTC (Federal Trade Commission) to crack down on deceptive practices in the Virtual Private Network (VPN) industry, The Verge has reported. In an open letter, Rep. Anna...
1 Reactions
1 Replies
746 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…