General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,273
- 2,640
Wakuu habari za Jioni?
Nina simu ya Sumsung S8+ huwa inakawaida ya kuzima mziki baada ya light ya desplay kuwa out (off). Au hata ikiwa connected kwenye blottooth.
Natanguliza shukran.