Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari ya jioni wapendwa Kuna kaofisi nataka kufungua sehemu ila umeme hamna nataka kutumia sola ili iweze kusukuma friza la boss lita 230 lengo nataka kufahamu ninunue bettry ngapi? Betrry...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Habar wakuu! Walengwa nadhani mmeelewa! Tatzo n simu yangu iphone je hakuna app za free internet za iphone Kama huelewi apo we basi🤣
2 Reactions
8 Replies
1K Views
1. Kabla bado unajifunza, pendelea kupiga codes kwa mkono, usitumie WYSIWYG apps kama DreamWeaver mapema. Zitakusababishia kutoelewa HTML, CSS codes kwa ukamilifu au kwa haraka, hivyo tumia...
4 Reactions
1 Replies
540 Views
Uamuzi huo umetolewa na Mahakama baada ya kampuni hiyo kubainika kutumia huduma ya Utiririshaji wa Moja kwa Moja (Live Streaming) iliyoanzishwa na Mwanajeshi Mstaafu aliyekuwa na lengo la...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hello Tech, Someone to help please. I'm using WordPress but recently this massage appared. "This site can’t provide a secure connection afyapin.com uses an unsupported protocol...
1 Reactions
4 Replies
647 Views
Kama Ni kweli wataalam wa anga naomba mnijibu maswali yafuatayo: 1. Kifaa kinachowapeleka kitasafiri kwa muda gani kutoka uso wa Dunia mpaka Sayari ya Mars ? 2. Je Hali ya hewa ikoje huko kuhusu...
0 Reactions
1 Replies
717 Views
Habari wakuu. Nina tatizo la Laptop kutokuwa na uwezo wa kuunganisha Mobile Hotspot pale inapokuwa imeunganishwa na Ethernet Cable. Pale ninapounganisha inakuwa na uwezo wa kupata internet lakini...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Tatizo nini ndg
0 Reactions
3 Replies
1K Views
OnePlus ilikuwa ni brand nzuri sana katika design, lakini kwa zaidi ya miaka mingi inabadili mwonekano wake kila muda na fans wake hawapendi kuona kila model ina design yake. Mwaka jana katika...
1 Reactions
2 Replies
965 Views
Habari za mihangaiko ndugu. Kuna kitabu cha "Birds of East Africa" kwa yeyote mwenye nacho ama anajua naweza kukipataje (kiwe soft copy).
0 Reactions
7 Replies
749 Views
HIZI NI GAMES LAZMA UCHEZE KWENYE PC YAKO (ENHANCED POST) 1 GTA V LINK GTA V Free Download OS: Windows 8.1 64 Bit, Windows 8 64 Bit, Windows 7 64 Bit Service Pack 1. Processor: Intel Core i5...
10 Reactions
140 Replies
29K Views
Majuzi hapa kuna kitu nilikuwa nacheki review moja ya powerbank nikakuta ya kiswahili nikasema ngoja niangalie Link yake hio hapo ..yani jamaa maswala ya tech hakuna kabisa kifupi anajarbu...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Naomba anayejua namna ya kuhamisha namba za simu toka line moja kwenda nyingine anisaidie how to do it on my phone
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Msaada nahitaji kununua desk top aina ya HP core 2 duo kwaajili yakucheza games kama fifa 22 na mengine vp jaman itasapot
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu Wanajamvi Naitaji Kuengenezewa App ya Music itakayolink na Website Yangu. Watu wawe Wana Download
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kufungua website na kulipia domain. Hela ya vocha ipo
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa anayejua naomba msaada.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kesho September 7 ni iphone keynote event ambapo inatarajiwa iphone 14, 14 max na max pro zitazinduliwa rasmi. Inaaminika kutakuwa na major upgrade kwenye upande wa camera na video itaweza...
16 Reactions
252 Replies
15K Views
Mwenye kufahamu free VPN ya internet ambayo inaconnect vyema kupitia mtandao wa vodacom anisaidie kunijuza. Itapendeza kama speed yake itakuwa ni kubwa bila kusahau band width yake Msaada...
1 Reactions
24 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…