Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Naomba kufahamishwa bei ya kioo cha TV ya 43 inches.
4 Reactions
9 Replies
413 Views
๐Š๐š๐ฆ๐ฉ๐ฎ๐ง๐ข ๐ฒ๐š ๐ค๐ข๐œ๐ก๐ข๐ง๐š ๐™๐ข๐ง๐ฐ๐š ๐“๐ž๐œ๐ก๐ง๐จ๐ฅ๐จ๐ ๐ข๐ž๐ฌ ๐ข๐ฆ๐ž๐š๐ง๐ณ๐š ๐ฆ๐š๐š๐ง๐๐š๐ฅ๐ข๐ณ๐ข ๐ฒ๐š ๐ค๐ฎ๐ฐ๐ž๐ณ๐š ๐ค๐ฎ๐ข๐ซ๐ฎ๐๐ข๐ฌ๐ก๐š ๐ฌ๐จ๐ค๐จ๐ง๐ข ๐ฌ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ฒ๐š ๐›๐ฅ๐š๐œ๐ค ๐›๐ž๐ซ๐ซ๐ฒ ๐œ๐ฅ๐š๐ฌ๐ฌ๐ข๐œ kwa jina jingine inaitwa Q20 ikiwa na mabadiliko kadhaa kwa ndani yenye kuvutia...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Katika maisha yangu simu ya kwanza kununua ni Siemens kidole mwaka 2007 mkononi. Sikuwa na matumizi sana wala maana yeyote kwangu. Miaka kabla ya android kuwa maarufu na kuenea TZ ulikuwa...
20 Reactions
116 Replies
14K Views
Je Imewai kukutokea ? โ€œSimu yako imeibwa. Dakika tano baadaye, benki yako imetuma ujumbe: 'Shukrani kwa kufanya malipo ya milioni 2 kwa Bitcoin wallet isiyojulikana.' Ulifikiri hauwezi kulizwa...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Infinix NOTE 30 na Samsung A24 ni miongoni mwa simu janja ambazo zimeachiliwa Mwaka huu na kuuzika katika mataifa mbalimbali. Simu hizi zinatofautiana bei na baadhi ya sifa hivyo basi leo...
4 Reactions
33 Replies
9K Views
Sijawahi kuwa na uhuru wa kutumia internet kama sasa baada ya kununua unlimited internet, Sina hofu ya kumaliza MB, sina haja ya kupunguza ubora wa video, siogopi video calls, sizikwepi post zeny...
24 Reactions
50 Replies
5K Views
Habari wakuu nina sony 10iii ilianza kuonyesha arama kam kotone ka wino kwenye kioo kadri nilivozidi kutumia na yenyewe ikawa inazidi kujaa wino kwenye kioo saa hizi hata siwezi kutumia tena na...
1 Reactions
1 Replies
145 Views
Hizi kampuni tatu simu zao nyingi ni mafamba! Hivi majuzi nilikua Dubai kwa mambo fulani hivi kwenye pita pita nikakutana na hizi simu nikanunua kampuni mojawapo Nyingi zinawekwa Specification za...
14 Reactions
86 Replies
5K Views
Karibu nikuhudumie 200k pamoja na hosting kwa miezi 3 na domain ya .com Pia natengeneza websites, mobile apps and system mbalimbali
0 Reactions
4 Replies
215 Views
Japanese company Science Inc. has officially released the โ€œMirai Human Washing Machine,โ€ a high-tech spa pod first shown at the Osaka World Expo earlier this year. The pod works like a fully...
1 Reactions
3 Replies
400 Views
Viongozi nilikuwa naomba mnisaidie jina la mfumo unaoweza ku tract kila kitu kweny kampuni kuanzia accountung,inventory,sales and purchases ,etc
3 Reactions
17 Replies
981 Views
Tofauti Kati ya Laptop Refurbished na Laptop Feki (2025) Imeandikwa na MALEKOGJ Mawasiliano kwa maelezo zaidi au ununuzi salama: +255 675031229 Katika soko la sasa la teknolojia nchini...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Hakuna Tena kujificha kama unatumia mtandao wa X jua utaweza kutambuliwa๐Ÿ˜Ž. Mtandao wa X (Twitter) imeanza kufanya majaribio ya kuweka kipengele kipya kinaitwa "About this Account" ikiwa na...
5 Reactions
11 Replies
608 Views
Habarini Wadau Kati ya TV hizi ipi ni Bora Kwa matumizi na haitaleta changamoto mbeleni huko. 1.Hometech (32 inches) 2.TCL (32 inches) 3.Alitop( 32 inches) 4.Aborder(32 inches) Budget...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
๐—ข๐—ป๐—ฒ๐—ฃ๐—น๐˜‚๐˜€ ๐Ÿญ๐Ÿฏ ๐—ธ๐—ถ๐—ฏ๐—ผ๐—ธ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ถ๐—ฝ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐—ป๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐˜€๐˜‚๐—ป๐—ด ๐Ÿ˜ฎ Linapokuja issue ya simu Bora za flagship basi wengi wetu huwa kwenye akili zetu huwa tunataja Samsung, iphone na Google vipi kuhusu Oneplus wengi...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Wale wenye Droid VPN hakuna hata dakika 1 mtandao ulisumbua, napenda kufahamu orodha ya VPN nyingine zilizoweza kuhimili kadhia ile ya vilaza, najua kuna uwezekano wa internet...
4 Reactions
48 Replies
2K Views
Nimejaribu kutumia Google earth ila sipata "Current location" yaani uhalisia wa hivi karibuni. Ninaweza kusearch eneo ila nakuta uhalisia wa miaka miwili nyuma na kuendelea wakati kwa sasa eneo...
1 Reactions
7 Replies
439 Views
Hili ni kumbusho kuwa karibia hifadhi zote za data zinaoza baada ya muda fulani, kitu ambacho ni muhimu kuzingatia. HDD (Hard Disk Drive) Zile mechanical ambayo haitumiki zinaoza baada ya miaka...
1 Reactions
3 Replies
240 Views
Habari, kama kichwa cha habari kinavojieleza nilikua naomba kujua kuhusu ubora wa hizi tv za goodvison, kwa mwenye uzoefu nazo.
1 Reactions
9 Replies
619 Views
Habari wadau! Naombeni ujuzi wa ku-unlock hii modem iwe nitumie line zote.
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ