Unatumiaje kwa faida???Ehhhehehe hiki kifaa mkuu umekinunua kwa promosheni ushamaliza GB unataka kuseleleka nacho kwa line zote
Kunae mtu kasema anajua utaalamu wake, akinipatia nitakusogezea na weweHa ha ha ha acha kabisa nipeni mbinu aisee
Sijakuelewa unamaanisha nini?Unatumiaje kwa faida???
Kama umefahamu njia ya Ku unlock permanent Nijuze tafadhali,, au kama ni temporary unlock pia nifahamisheKunae mtu kasema anajua utaalamu wake, akinipatia nitakusogezea na wewe
Nafahamu tempo, kila ukiiwasha lock imooKama umefahamu njia ya Ku unlock permanent Nijuze tafadhali,, au kama ni temporary unlock pia nifahamishe
Kama bado karibu inboxNafahamu tempo, kila ukiiwasha lock imoo
Unayo njia permanent?Kama bado karibu inbox
Mkuu naomba iyo ya tempo aiseeNafahamu tempo, kila ukiiwasha lock imoo