Habari wakuu,
Nimekuwa nikitumia YoWhatsApp kwa simu A na sasa nimepata simu mpya B.
Nataka chat zangu zote zihamie simu B pindi nikiweka YoWhatsApp katika simu B.
Nimepitia maelezo mitandaoni...
Jina sahihi la processor zilizopo ndani ya simu ni CHIPSET kwa kifupi CHIP. Processor ni moja ya kitu ambacho huisaidia simu yako kufanya kazi kwa ufasini na ni kama ubongo au injini ya simu yako...
Wakuu habari ya nyie naamini mko good kabisa, straight to the point, kuna kimeo hapa cha iPhone SE kina run IOS 14.3 nahitaji kukitoa iCloud lock nimejaribu kuki jailbreak kimekubali issue ilo...
Wadau hivi ni kweli asilimia kubwa ya smart tv na deki zetu hizi huwa hazina uwezo wa kusoma flash ya uwezo wa 64gb kwenda juu?
Note: Flash ambazo ni ORIGINAL.
Maana nimetest kuanzia 8gb mpaka...
Wakuu heshima yenu, nimekuja mbele yenu nikiwa na swali moja tu ni software gani ambayo inaweza ikanisaidia kuhifadhi taarifa za namna hii.
Mfano:
Taarifa za watoto waliozaliwa nchi nzima...
Uamuzi huo utaathiri hadi 5% ya Wafanyakazi wake wote duniani na utaigharimu kampuni kiasi cha Tsh. Trilioni 2.7 katika kujipanga upya.
Kwa mujibu wa Financial Times, Microsoft inatarajia kufanya...
Wapendwa nimeweka Windows 10 kwenye PC yangu aina ya Acer lakini sensor imegoma kufanya kazi naomba kukujua tatizo itakuwa ni Nini na namna ya kutatua.
Habari za muda wakuu nimetokea kuvutiwa Sana na brand za Xiaomi kuna hii Xiaomi mi 9 SE mwenye nayo amabayo IPO clean condition aje DM tuyajenge Zaid
Happy new year there few hours hours remain
Wengi wetu tumekuwa tukinunua simu bila kujua tunaenda kutumia kwa ajili gani.
Yani unakuta mtu ana simu, tablet na laptop vyote ukimuuliza hana jibu.
Sio kosa kuwa navyo ila je unatumia kwa...
PC yangu imeharibika housing. Nikiifunga na kufungua ndio inazidi kuvunjika.
Je, ni wapi naweza kupata housing mpya au used? (Ni housing ya plastic)
Makadirio ya bei ni kiasi Gani?
Na gharama za...
Habari za muda huu wajuvi. Nawasilisha hii changamoto japo simu imenunuliwa mkononi bila kujua tatizo naomba msaada niweze kulitatua.
Matatizo yake ni muda mwingine inaleta notification ya No...
Habari wanateknolojia.
Karibuni Ozone Technologies mjipatie vioo vya laptop. Vioo vyetu ni vipya, na vyenye ubora. Ukinunua kioo kwetu, Tutakupatia na ofa ya kukufungia bure kabisa.
Bei ...
Za asubuhi wadau natumaini mumeamka salama salmini
Nilikuwa na mpango wa kuagiza redio za jbl katika peruzi zangu huko mtandaoni nikakutana na hawa jamaa wa Ali express naona bidhaa wanuza bei...