Waungwana naomba mnisaidie niweze kutumia huduma tajwa hapo juu.
Nina mail address ya yahoo (like most of the africans!!) na nimejaribu kufuatilia maelakezo yao bila mafanikio.
Natanguliza...
Kutakuwa na mkutano katikati ya mwezi huu huko Makao makuu ya ITU Nchini Uswizi , Moja ya mada itakayojadiliwa kwenye kikao hicho Ni Masuala ya Mtoto na Mtandao Usalama Wake , Hii haiwezi kupita...
Footsprints ni nini na zinaondolewaje?
Footprints (kwenye mtandao) inamaanasha alama zinazoachwa kwenye
mtandao. Mfano unapo tumia bao bonye (keyboard) kuchapa jina lako
kwenye tovuti...
Kama wewe ni KITHEE yaani umekula chumvi nyingi na kugonga sana Keyboards za computer na zaidi zaidi kufanya Installations kwa kutumia DISC A zenye 1.44mb, utakuwa unaukumbuka huu wimbo. Hebu rudi...
Kutakuwa na mkutano katikati ya mwezi huu huko Makao makuu ya ITU Nchini Uswizi , Moja ya mada itakayojadiliwa kwenye kikao hicho Ni Masuala ya Mtoto na Mtandao Usalama Wake , Hii haiwezi kupita...
This Is What I.T in Tanzania should be about. We need to step out of our shell.
We really have a long way to go !
Hope it inspires the software develop / I.T guys out there just like how it...
Nina computer yangu ambayo nimeweka windows XP imekuwa ina crash mara kwa mara na nimejaribu kuifomat na kutoweka driver zozote kwa mda ilikuangalia kama windows ita-crash tena lakini huo mchezo...
Please Educate me
1. if I can record in to CD some thing like songs from YUTUBE or
2. Can I record in to CD from a Radio playing through Internet?.
3. Can I change DVD into VCD or Audio CD?
Wadau natumia Kaspersky 6.0 anti virus for workstation na hivi karibuni niliiingiliwa na Naked woman virus kwenye pen drive yangu; ajabu Kaspersky imeripoti kumwondoa lakini hatoki kwenye hiyo pen...
Communications regulators in East Africa are teaming up to combat foreign attacks on communication equipments and systems in East Africa, a top official has said.
Mr Patrick Mwesigwa, the...
Wakulu naomba msaada naamini hapa kuna nguli wengi wa Tekohama mtanisaidia .hivi sasa komputa yangu inashindwa kutambua faili zilizo kwenye mfumo wa PDF ,hapo zamani nilikuwa naweza kufungua faili...
Hi Jamiiforum Contributers,
I am currently looking for a highly talented Business Systems Analyst/Programmer to come and join the Strategic Business Information Unit of a multinational company...
Nimekwenda ktk windows updates nikawa prompted kuwa kuna high priority updates ambazo ni lazima ziwe installed. After a review imeonyeshwa hizo updates ni: Microsoft .NET Framework 3.5 Service...
Najaribu ku rip myspace videos. Nimetafuta online lakini solutions ninazopata zote zinashindikana, something about myspace constantly changing their protocol or something.
Nani ameweza kufanya...
By Rajmeet Ghai
Qn1:What are the disadvantages of MySQL?
Answer:
1.MySQL does not support a very large database size as efficiently
2.MySQL does not support ROLE, COMMIT, and Stored...
Ndugu zangu Wana JF ningeomba kama kuna mtu anajuwa mambo yanayohusu Telnet anifahamishe ni jinsi gani namna ya kutumia hiyo Telnet mimi ninatumia Windows 7 ningeomba anaifundishe nama ya kutumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.