The Internet is robust. It's not dependent upon a single machine or cable. It's a network made up of other computer networks. It spans the globe. Connections cross over continents, under oceans...
Wajameni, virus vinakaribia kunimaliza. Vya computer. Nimetumia ARV zote naona CD4 haziongezeki, yaani sijaweza maliza tatizo. Naomba mwenye antivirus anitumie kama attached file niweze ku-instal...
Suppose you were to pull up to a gas station in a distracted state of mind. For example, you're driving your three children plus three of their friends to the zoo and they're all screaming for ice...
In a hand-to-hand comparison with the new iPhone 4 and the iPhone 3Gs, one will instantly notice how much thinner Apple made the new product. The iPhone 4 is 24 percent thinner than the 3Gs and...
How to get copy of xray pictures
Tafadhali nisaidieni jinsi ya kutoa nakala ya picha za X ray au hata kuziscan ili niweze kuzituma
kwa Dr. aliye mbali ili aweze kutoa tathmini yake.
Kuna taarifa kuwa internet Bongo imeenda down kwa muda wa zaidi ya 1hr mpaka sasa, kuna ambao mnatumia TTCL au Zain au Zantel au Voda au hata Raha, CATS etc mnakumbana na tatizo hilo?
Just wanna...
Habar za mishughuliko wakuu,
Nataka nijue wapi nawezakwenda nika-load Map ya Tanzania kwenye Gps ya mobile phone yangu....
Phone type: Toshiba TG01
Asanten kwa msaada
Ndugu wana JF, niliagiza gari kutoka Japan kama kawaida wabongo wakakwapua control box (ECU) nikafanikiwa kupata nyingine lakini Last month gari yangu ilisumbua so nikaamua kuipeleka gereji baada...
UNAVYOWEZA KUJIKINGA NA PROGRAMU/SOFTWARE BANDIA
Yona Fares Maro
May 2010
www.ictpub.blogspot.com
Inasemekana Utumiaji wa Programu/Leseni bandia umesababisha hasara ya zaidi ya...
GHARAMA za kupiga simu na matumizi ya intaneti yanatarajiwa kupungua kwa asilimia 50 na 80, baada ya kukamilika kwa mkongo wa taifa wa mawasiliano unaojengwa hivi sasa. Akitoa taarifa ya...
Wadau wa IT; ninazo servers mbili moja ambayo ni Windows 2003 na nyingine nimeinstall Ubuntu linux; ubuntu ikiwa primary domain server; zilifanya kazi kwa muda wa miezi 6 bila shida lakini ghafala...
University-based laboratories (Australia) unveiled a new wireless technology called GiFi. This is a short range technology, effective within 10 meters. However it features impressive data transfer...
Naombeni msaada wa hili tatizo:-
Kila nikifungua mafaili ya MS word na hasa yaliyo kwenye Flash disk, ninakuta ujumbe huu:-
"
Sorry I am really sorry. I don't want to do it again. This is my...
Jinsi ya Kuscan Data au Komputa .
Yona Fares Maro , May 2010
The ICT Pub
Utakachosoma hapo chini ni kwa ajili ya kujifunza , inawezekana hii taarifa isiweze kukudaidia wewe lakini ikasaidia...
Utakachosoma hapo chini ni kwa ajili ya kujifunza , inawezekana hii taarifa isiweze kukudaidia wewe lakini ikasaidia mwingine na inawezekana unapojaribu kuscan vitu fulani vikafutwa au ukapatwa na...
wakuu natanguliza kwanza salamkwa wote ,ningependa munisaidie kama kuna Mtu anaweza kunipatia Driver ya Kamera A4 tech pk-635m For Mac 1O.411 TIGER Os X kamera yangu ninatumia kwenye PC hakuna...
Jinsi ya Kuscan Data au Komputa .
Yona Fares Maro , May 2010
www.ictpub.blogspot.com
Utakachosoma hapo chini ni kwa ajili ya kujifunza , inawezekana hii taarifa isiweze kukudaidia...