Loading Tanzania Map in ma phone (GPS)

Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
4,352
3,533
Habar za mishughuliko wakuu,

Nataka nijue wapi nawezakwenda nika-load Map ya Tanzania kwenye Gps ya mobile phone yangu....

Phone type: Toshiba TG01

Asanten kwa msaada
 
Ninavyoelewa mimi Google peke yao ndo wana ramani za Bongo ambazo zina angalau kidogo, lakini Google Maps hauwezi kuload ramani kwenye simu, simu inabidi iwe na internet connection kisha inavuta ramani kutoka kwenye mtandao, so internet ikikata ramani nayo hakuna.
Google Maps for mobile
 
Thanx Kang
 
Back
Top Bottom