Muhimu: Electrical Wiring Diagram ya TOYOTA Rav 4 1AZ-FSE inahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muhimu: Electrical Wiring Diagram ya TOYOTA Rav 4 1AZ-FSE inahitajika

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Albedo, Jun 4, 2010.

 1. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ndugu wana JF, niliagiza gari kutoka Japan kama kawaida wabongo wakakwapua control box (ECU) nikafanikiwa kupata nyingine lakini Last month gari yangu ilisumbua so nikaamua kuipeleka gereji baada ya kuichunguza wakagundua kwamba kuna matatizzo kwenye connection za ECU kwa maana fundi aliyefunga hakuwa competent, sasa issue ni kwamba jamaa wanadai toyota hawajawi kuuza gari maodel kama yangu ( Rav 4 2000 engine type 1AZ-FSE) so hawana electrical wiring diagram na kurequest from japan (namaanisha from toyota japan) ni gharama sana

  sasa ni three weeks gari yangu iko juu ya mawe naomba kwa yeyote mwenye nayo anisaidie

  Nashukuru sana
   
 2. JuaKali

  JuaKali JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 785
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
 3. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
 4. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,827
  Likes Received: 20,813
  Trophy Points: 280
  Pole sana kaka,najua unajisikiaje kwasababu hayo yashanifika mara kadhhaa,hivi hii shida itaisha lini?maanake ishakuwa KAWAIDA wanaiba vitu very sensitive kwenye magari!!!kuna magari ukitoa hivyo vitu hadi yarudi kwa DEALERS wakaprogram upya sasa hawa watu wa bandarini na njaa zao watatutia umaskini jamani.

  Sasa kaka unahitaji CONTROL BOX au WIRING DIAGRAM??!!
   
 5. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mkuu I had the control box ambayo ilifungwa last year, sasa from that gari yangu ikawa inasumbua kwenye speed nikawapelekea toyota ( Pasipo kuwaambia kwamba niliibiwa Control box) baada ya kufanya diagnosis pamoja na matatizo mengine kwenye fuel system wakandugua kuna tatizo kwenye mambo ya Umeme yaani wiring za control box ndio zinasumbua, sasa jamaa (toyota tanzania) hawajawahi kuuza gari ya model kama yangu so hawana wiring diagram na kuagiza from the mother company ( Toyota japan) just for my car ni gharama,

  What I need is an electrical wiring diagram
   
 6. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,827
  Likes Received: 20,813
  Trophy Points: 280

  hebu cheki hii link:
  Toyota RAV4 service manual, repair manual, workshop manual, maintenance, electrical wiring diagrams, body repair manual Toyota RAV4, 2000-2005 years
   
Loading...