How to Hack Wireless password(key)??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How to Hack Wireless password(key)???

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Tech, May 27, 2010.

 1. T

  Tech Member

  #1
  May 27, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Can anybody help me to hack a secured wireless.

  I hope I wont be asked to purshase my own link as a solution.

  Cheers
   
 2. lukenza

  lukenza Senior Member

  #2
  May 27, 2010
  Joined: Apr 11, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ndugu yangu Hacking business means you must be good in codes and other It Technology i dont think you will get answer here because most waBongo wanaakili lakini ni wavivu sana katika nyanja hii
  Hacking mara nyingi inataka ubunifu unaoendana na kucrack your brain for so long
  Belive me you wont get answer from this JF Forum
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Iko secured na nini? Kama ni WEP utaweza kucrack kama ni WPA bora usahau kabisa.
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Sio lazima uwe good in codes Ndugu. In todays word waht we need is to have a right and Relevant information on a subject. Kuna watu hapa JF ingawa hawajui code watakupa taarifa za tools zinazoweza kukusaidia. Bwana Kang kakuprovia hilo.

  Jiulize swali dogo tu kuunlock simu kama nokia unahitaji utaalamu gani. Resources kubwa unayoitaji ni Internet na time ya kusearch solution na cha muhimu zaidi kujua wapi usearch hizo solutin za ku unlock.


  tukirudi kwa swali la ndugu hapa zaidi ya alichosema bwana Kang nadhani zipo tools zinaweza kugenerate wireless Keys. . Ukiwa na taarifa fulani mfano jina la kampuni ya ISP na model au brand ya Router unaweza kupata keys.

  Work arround hiyo hapo ni kama Mtumiaji hakubaldilisha security keys. i,e anatumia zile zilizokuja na vifaa kutoka kwa ISP.

  Pia ukiwa unajua ISP unaweza kujua unaweza kujua Default IP adress ya Router/ Acess Point (AP). kwa kujua IP adress ya Router /AP ambayo hasa ndo ina hifadhi wireless Keys unaweza ku connect kwenye hiyo router ni kusoma hiyo passowrd keys/SSID. kama itakuwa encrypted that is another subject Lakini kuna tools pia za kusaidia ku decrypt Kifupi ni kwamba Ukiwa na info kidogo za Owner/ISP wa hiyo wireless device u can hack or crack it

  nina uhakika kuna work arround nyingi amabzo haziitaji ujue algebra wala permutation


  wakati huo huo jaribu kusoma soma na kudowload hii tool inaitwa Aircrack. Ina bundle ya software za
  airodump (an 802.11 packet capture program)
  aireplay (an 802.11 packet injection program)
  aircrack (static WEP and WPA-PSK cracking)
  airdecap (decrypts WEP/WPA capture files)

  Tols nyingine unaweza kucheki ni bt3 or bt4, wireshark,putty na vnc

  Otherwise njoo na taarifa ya jina la ISP na na brand/Model ya Router/AP kama unazijua

  ukipata more useful info nielimishe pia
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  After few minutes of gathering helpful information about your subject I advice u go and read this article from the link Cracking WEP and WPA Wireless Networks - Docupedia.

  It has s nice answer to basic questions on how to crack /hack secured wireless networks

  Wich//What Tools to use?
  How to Use them
  What problem u might face in cracking secure wireless and alternative workarrounds.
   
 6. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Thank you big man, together always let me try and see.
   
 7. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  Wabongo wengine kwa kupenda dezo! Halafu hawana hata aibu, wanaomba kujua jinsi ya kuiba mitandao ya watu wengine, joker smoker style.

  Hata ukiwapa link watakuuliza uwatafsirie kilichoandikwa kwenda kiswahili.

  Na wabongo wengine kwa kukandya wabongo wenzao.Eti ni lazima ujue "code", nini code, kuna watu wanajua kuandika code za kuandika code, na wabongo vile vile.

  And then kesho keshokutwa tunajibaraguza kuja kushambulian ufisadi hapa, kumbe wengine ufisadi ni jadi yao na upo katika damu, hawauonei hata aibu.

  Oooovyo!
   
 8. Njaa

  Njaa JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2010
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 970
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 60

  Acha hizo wewe, ku-iba wireless conection ni ku-share umaskini tu, tafuta tafsiri sahihi ya ufisadi, otherwise kulock internet yako ili isitumiwe na wengine ni ufisadi
   
 9. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  Wacha njaa wewe,kula makombo yaliyodondoka mezani si maisha. Ukipenda dezo sana utashikishwa ukuta.
   
 10. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #10
  May 30, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kwani kasema anataka kuiba au anataka Dezo? kasema anataka kujua jinsi ya kuhack/crack. kuna kitu kinatwa ethical hacking. ukijua jinsi ya ku hack au ku crack unaweza kujua njia nzuri zaidi ya kuprotect wireless.
  kujifunza au kujua mbinu za wizi haina maana lazima unataka kuwa mwizi
   
 11. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #11
  May 30, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  Usitake kumtetea hapa, usitake kufanya watu hawajui "ethical hacking"

  Mwenyewe kasema

  Huyu ni mtu anayetaka dezo tu.

  Kama mtu anataka kufanya ethical hacking ya kweli, na nia yake ni kuvunja security ili ajue security inavyofanya kazi, anaweza kuconfigure system yake mwenyewe na kui hack system yake mwenyewe.

  There is nothing ethical about hacking another's system.
   
 12. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #12
  May 30, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  hahhahahhaha no comment
   
 13. T

  Tech Member

  #13
  Jun 1, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thank you guys for your valuable comments
   
 14. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #14
  Jun 1, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  After one week nimejaribu it is possible brother . nimehack sucessfully my own wireless. Na kwa kutumia Linux or linux.Unix based OS kama ubuntu inakuwa rahisi zaidi.
  Sasa ngoja nijipe challenge nitafute jinsi za kuhack/kucrack /tap mobile phones
   
Loading...