Kuna taarifa kuwa internet Bongo imeenda down kwa muda wa zaidi ya 1hr mpaka sasa, kuna ambao mnatumia TTCL au Zain au Zantel au Voda au hata Raha, CATS etc mnakumbana na tatizo hilo?
Ukiwa slow sana ina maana ISP wako amewachukua wateja wote wa Mkongoni na kuwaongeza kwenye traffic ambayo upo ili walau wote mpate, mimi tangu asubuhi saa nne na nusu siwezi kutuma wala kupokea email toka exchange server yangu - ni tatizo kubwa.
Inasemekana breakdown ipo UK, sasa mwenye habari saa ngapi itarudi atuhabarishe au laah turudishe VSAT system.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.