Hello JF.
Kwa sasa niko kwenye mafunzo binafsi ya Querying Microsoft SQL Server 2005 with Transact-SQL.
Kijitabu cha microsoft ambacho ninacho ni cha 2000 Server.Kama kuna mtu amesha fanya...
Ullimwengu tuliopo ni wa sayansi na Teknolojia.Kila kukicha teknolojia mpya ya kufanya mambo, kutengeneza bidhaa inagunduliwa na kuanzishwa.
Uwepo teknolojia na misamiati ukichanganya na...
Kwanini Unatakiwa Kusajili Dot Tz ?
Kuna watu wengi wamewahi kulalamika kuhusu anuani za barua zao pepe kuvamiwa na kubadilishwa baadhi ya vitu au kutumiwa kwa huduma zingine ambazo wao...
hello,
Recently I found one website called Free Education Information System, schools and colleges information, free books for engineering and medicine here you can get all Indian Community...
Wakuu ninapokuwa nimeitumia Laptop yangu nikii-command kuzima inachukua hata nusu saa imeonyesha kile ki-alama cha kuwa iko busy, mpaka nalazimika kuizima kwa kui-buti. Je tatizo ni nini na...
Umewahi kujiuliza Serikali yetu inatumia Pesa kiasi gani kwa mwaka kwa ajili ya Kununua vifaa , programu , kuajiri na Elimu kwa wafanyakazi wake kwenye masuala ya Teknohama ? Sio serikali tu mfano...
Wakuu wangu nawaombeni mnisaidie hii Bluetooth kwenye Windows 7. Najaribu kuinstall inakwenda na kufika kati inagoma inakuja hii Message (Error 267 Occurred during installation! Please try to...
Please check with your service provider if you have been properly registered by either hitting *106# or dialling 106 or sending SMS to 106.
Please pass this message as widelly as possible
In research echoing the Wizard of Oz, scientists have found the key to overcoming fear. The discovery means it might one day be possible to give people back their courage - just as Oz helped...
Habari za hapa ndani wakuu, naombeni msaada wenu wa kitaalam, mimi ni mwanafunzi niko hapa dar es salaam nahitaji kujua sehemu wanauza 3G modem kwa bei nzuri, kama kuna mtu anafahamu aweza kuni PM...
Ndugu zangu
Hivi ni wangapi hapa tunajuana mitaani , mashuleni na sehemu zingine za makazi sisi kama wana teknohama ni wangapi wenu hapa tunasaidiana na kushauriana masuala mbalimbali zaidi ya...
Kiswahili kwenye kompyuta!!!
Plans are already at an advanced stage for the Swahili language to be incorporated in MS Applications. Lets take a sneak peek at developments so far: Its the high...
Kama wewe ni mtembeleaji wa Tovuti kama Facebook pamoja na Hi5 utakuwa umeona baadhi ya vijimambo vinavyoendelea katika tovuti hivyo, mfano unapojiunga na tovuti hizo inakuwa na sehemu maalumu...
Jamani wadau wa JF nimepata visitor message kwa profile yangu huyo mtu anadai anaitwa Monica akaniambia amefurahi sana kuiona profile yangu na akasema tuwasiliane zaidi anataka tuwe marafiki...
Wadau,
Kama mdau wa teknolojia, nahitaji kufahamu ni taasisi /kampunigani hapa bongo inatoa elimu ya Oracle Certification(ikiwemo na kusimamia mitihani).
Nimejaribu kutembelea baadhi ya zile...