Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,295
- 33,079
Wakuu wangu nawaombeni mnisaidie hii Bluetooth kwenye Windows 7. Najaribu kuinstall inakwenda na kufika kati inagoma inakuja hii Message (Error 267 Occurred during installation! Please try to install again) Wakuu wangu nawaombeni msaada jamani tangu niiweke hii Windows 7 hii bluetooth inagoma Ku install asanteni.