3G Modem | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

3G Modem

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mau, Jun 22, 2010.

 1. Mau

  Mau Senior Member

  #1
  Jun 22, 2010
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Habari za hapa ndani wakuu, naombeni msaada wenu wa kitaalam, mimi ni mwanafunzi niko hapa dar es salaam nahitaji kujua sehemu wanauza 3G modem kwa bei nzuri, kama kuna mtu anafahamu aweza kuni PM au kunijulisha hapahapa jukwaani.
   
 2. doup

  doup JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2010
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  umejaribu kuuliza wapi? kama bado waweza kwenda vodashop yoyote upate bei.
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Sina uhakika na swali au mahitaji yako halisi. lakini nadhani unaelewa maana ya 3G modem.

  Kifupi 3G modem ni kifaa kinachommezesha mtuimiaji kuunganishwa na internet kwa kupigia mindombinu na mitanadao ya 3G amabayo ni tekonolojia inayotumiwa na kampuni ya simu za mikononi.

  Kwa hiyo kifupi ni kuwa unatakiwa kuongea na Mobile companies ujue terms zao.

  Nadhani kuna aina tatu za 3G modem ambazo ni data card, USB stick, na 3G USB dongle.

  Kwa ushauri wangucha msingi kabla ya kujuabei ya modemni vizuri ujue techical terms(Download/upload capacity) na bei ya MB

  Nasema hivi sababu Modem itakuwa ni one time cost lakini running cost na quality ndo issue.

  Kwa kuwa wewe ni mwanfunzi ni vizuri ufanye research mwenyewe kwa kuwauliza haya makampuni ya simu terms zao na technical specification.Lakini narudia selction criteria yako usifuate bei ya modem tu
   
 4. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2010
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ingia kwenye blog ya michuzi kwenye page hapo mwanzo kabla ya habari kuna details zote za bei za modemu za vodacom.
   
 5. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #5
  Jun 24, 2010
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Mkuu, nakushaurii uchukue Modem ambazo ni Unlocked. Ukienda kununua Modem Vodacom, Zain au Zantel, hiyou modem ni locked kwa huo mtandao. siku utakapotaka kuhama mtandao mwingine utashindwa, na hii ni very inconvenient for most of us.

  Modem ambayo ni Unlocked inaingia line yoyote ile, so kujua rates kabwa sio ishu kwa sababu you are not bound to any telcom provider and can switch anytime.

  Kuhusu bei, sijui. Sifahamu kama upo hapa Dar, ila ungeweza kwenda pale Milenium Towers, kuna internet cafe pale ground floor karibu na Steers, waulize kuna kipindi walikua nazo.
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Jun 24, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Je hawa providers wanakubali uwe na ulocked modem. Asije akanunua Unlocked modem then akienda kwa kila kampuni wanamkatalia kuwa lazima atumie modem zao. Ndio maana nimemumbia kwa kuwa ni mwanafunzi afanye reseach kusikia terms za kila kampuni.
   
Loading...