Kiswahili kwenye kompyuta!!!

Mama Brian

JF-Expert Member
Feb 7, 2010
320
21
Kiswahili kwenye kompyuta!!!
Plans are already at an advanced stage for the Swahili language to be incorporated in MS Applications. Let’s take a sneak peek at developments so far: It’s the high time you buy a kamusi as things might not get easy as you can see below.[FONT=&#23435]

1. Mtambo wako unakimbia nje ya kumbukumbu dhanifu - (Your system is running low on Virtual Memory)

2. Mtambo wako umefanya mpango kabambe usiokuwa halali na sasa utafungwa - (The application has performed an illegal operation and the application will be shut)

3. Madirisha Elfu Mbili na tatu Tandabui isiyo ya bui Mtumishi (Windows 2003 Web Server)

4. Madirisha Elfu Mbili Mtumishi (Windows 2000 Server)

5. Madirisha Elfu Mbili Mtaalamu (Windows 2000 Professional)

6. Jedwali Changamfu (Active Directory)

7. MS Mtazamo (MS Outlook)

8. Mtazamo Ulioharakishwa (Outlook Express)

9. Punguza namba ya Tumizi zilizowazi (Reduce the number of open applications)

10. Makosa ya kichapio ( Keyboard error)
[FONT=&#23435][/FONT]​
[FONT=&#23435]GOD BLESS YOU!![/FONT][FONT=&#23435][/FONT]​

[/FONT]​
 
duh kumbe server ni mtumishi,kazi bado ipo,ila tutaweza kuzoea as the time goes by .
 
duh kumbe server ni mtumishi,kazi bado ipo,ila tutaweza kuzoea as the time goes by .

Asante kamaka kwa kusoma Topic yangu, naona hili jukwaa lina wateja wachache sana wote wamejazana kwenye jukwaa la Mapenzi na mahusiano, kazi kwelikweli!
 
Hii inafurahisha sana japokuwa kuizowea itachukua muda!..Kwanini neno MICROSOFT nalo lisibadilishwe kwa Kiswahili(MICROSOFT=MICRO+SOFT), ambapo maneno hayo yote yana kiswahili chake?
 
Hii kasheshe, Inabidi tukasome kiswahili cha komputa... msamiati unatisha. Du, kama namba nane; Mtazamo Ulioharakishwa (Outlook Express); pengine ingekuwa 'mtazamo wa nje.....'
 
kweli hii kali kweli kiswahili bado kina long jouney to go

""Jedwali Changamfu (Active Directory"" mmmmhh
 
Kiswahili kwenye kompyuta!!!
Plans are already at an advanced stage for the Swahili language to be incorporated in MS Applications. Let's take a sneak peek at developments so far: It's the high time you buy a kamusi as things might not get easy as you can see below.[FONT=&#23435]

1. Mtambo wako unakimbia nje ya kumbukumbu dhanifu - (Your system is running low on Virtual Memory)

2. Mtambo wako umefanya mpango kabambe usiokuwa halali na sasa utafungwa - (The application has performed an illegal operation and the application will be shut)

3. Madirisha Elfu Mbili na tatu Tandabui isiyo ya bui Mtumishi (Windows 2003 Web Server)

4. Madirisha Elfu Mbili Mtumishi (Windows 2000 Server)

5. Madirisha Elfu Mbili Mtaalamu (Windows 2000 Professional)

6. Jedwali Changamfu (Active Directory)

7. MS Mtazamo (MS Outlook)

8. Mtazamo Ulioharakishwa (Outlook Express)

9. Punguza namba ya Tumizi zilizowazi (Reduce the number of open applications)

10. Makosa ya kichapio ( Keyboard error)
[FONT=&#23435][/FONT]
[FONT=&#23435]GOD BLESS YOU!![/FONT][FONT=&#23435][/FONT]​

[/FONT]​

Nadhani wataalamu hawa walitumia tafsiri ya neno kwa neno katik kutohoa maneno hayo yaliyo katika MADIRISHA ya Microsoft. Naamini kabisa kwamba Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili na Baraza la Kiswahili la Taifa wana tafsiri sahihi kwa maneno hayo. Nadhano katika vyombo hivyo viwili, ndipo mahali ambapo Microsoft wanaweza kuanzia kutengeneza hizo programu za tarakilishi zao.
 
Bado tunasafari ndefu sana kukamilisha misamiati yote iliyopo kwa computer, sijui tutafika!
 
Hahahahaaaaaaaaaaaaaa.........for sure it will take time to adapt......Ila its possible.....mbona nchi zingine wameweza???????
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom