Ukipigiwa simu kwa nambari binafsi (private no.) au ikiandika call kwa red usipokee ni mionzi unaparalise na kufa.Imetokea kenya watu wamekufa.
Julisha ndugu & jamaa wote.
Msaada tafadhali...
kwanini uchague Windows 7
Microsoft wameweza kuuza nakala zipatazo milioni 150 million za Windows 7 ndani ya miezsi kadhaa tangia iingie dukaniHii imewawezesha au kuifanya windows 7 kuweka...
nilisoma thread ya INVSIBLE juu ya zantel kupunguza bei za net kuwa sasa wana packge ya tsh 10,000 kwa 2GB. Mwanzoni walikuwa na packge ya 200MB kwa shs 10,000 ambayo ndo nilikuwa najinafasi nayo...
WanaJF naomba Msaada
Laptop yangu iko slow saana inatumia window VISTA nikiwa natumia internet inakuwa slow saana. Nimejaribu kuscan using Avira lakini ikiscan na kufika katikati inazimika, hapo...
Wana JF naomba kama kuna mtu mwenye kujua small Enterprisecompany dealing with IT na haswa kwenye kazi za kutoa Technical support hapo ZNZ ambayo naweza kushirikiana nayo/ nae kwenye kazi ani...
Asalaam Aleikhum waungwana!
Hivi karibuni watu wote waliopo kwenye adress book ya email yangu wamekuwa wakitumiwa messages as if nimezituma mimi message hizo ni za aina mbali mbali lakini...
Hamjambo wana JF. Computer yangu iliingiliwa na virus na C drive , D drive na Flash disk vyote vikabadilika majina mfano C Drive ipo na herufi AOX0.... halafu C inafuata na D drive hivyohivyo ni...
Google said it will allow users to make free or deeply discounted calls right from Gmail to regular phones, ramping up the competition with Skype and similar services.
Gmail users will see the...
Wana Jf, msaada jamani.........Nimenunua komputa, used. Ni HP Pavilon. Ina lugha ya Kifini, ninataka kubadili lugha kwenda kiingereza. Nimeshindwa kubadili lugha. Nina CD ya VISTA, nimeshindwa...
Jamani ni siku ya tatu leo na ka DELL kangu kako very slow na kanakwama mara kwa mara na kila wakti yanatokea maneno hayo hapo juu, nisaidieni.
Nilikuwa natumia anti virus ya norton kwa miaka...
HESHIMA MBELE
I LOST ADMINISTRATOR PASSWORD FOR LOGIN IN WINDOW VISTA COMPUTER AINA YA COMPAQ LAKINI USE INGINE INAFUNGUKA KWANI SIKUWEKA PASSWORD.
THE PAST
I WAS OPENED TWO ACCOUNT ADMINISTRATOR...
Source: Paul Allen Sues Apple, Google, Others Over Patents - WSJ.com
By DIONNE SEARCEY
Billionaire Paul Allen has made major forays into cable television and sports teams since...
Dialing #31# before the number in GSM Phone/network would make the caller display as PRIVATE . ie. block the caller IDENTITY for that call. (eg Dial #31#002557XXXXXXXX) Welcome to share any...
Apple likely to announce iPods, iTV, new iTunes on Sept. 1
By Helen A.S. Popkin
Apple surprised industry insiders Wednesday afternoon with an invitation to its exclusive event at the Yerba...
Kama ningekuwa mwana ICT
Kuchangia Nenda hapa!
Kipindi naingia kwenye ulimwengu wa ICT nilikuwa na maswali mengi mno kichwani,nilipata shida sana kujiweka kwenye mstari kamili wa...
Wajameni ninaomba mtu yeyote mwenye software/ au utaalam wa ku-protect CD/VCD/DVD zisiweze ku-kopiwa na wajanja wa mjini. Nina project ndogo ninayoifikiria kufanya hivo nahitaji kujua jinsi gani...