msaada kuondoa Hackers kwenye mail Box

Madikizela

JF-Expert Member
Jul 4, 2009
675
439
Asalaam Aleikhum waungwana!

Hivi karibuni watu wote waliopo kwenye adress book ya email yangu wamekuwa wakitumiwa messages as if nimezituma mimi message hizo ni za aina mbali mbali lakini zinahusu utapeli wa kibiashara kwa mfano message moja inasema wao ni mtandao wa kibiashara ambao unauza vitu kwa bei rahisi na mimi ni moja wa wateja wao! message hizi zinakosesha sana amani kwa kuwa ni za kitapeli na sielewi wameweza vipi kutumia password yangu.

Waungwana naomba msaada ili niondokane na tatizo hili
 
Try changing your password.

- Make sure your password atleast starts with caps,
-Mix with numbers
-Na unaweza hata kuchanganya na other characters kwa mfano:- L!b3r7y201
it might sound difficult to read and remember but it could be the safest way.
No one could even guess your password in that way, thus, not easy to get around to it.
 
Change your password, thats all. Fanya kama MasterMind alivyokuambia, make sure passworld yako inameet maximum complexity, iwe na namba, herufikumbwa na ndogo na alama kama @#$%^&* , shida yako ni common hasa kwa watumiaji wa hotmail na live, jamaa wamesumbuliwa sana na kila siku watu wanaibiwa passwd zao.
 
Na-assume unatumia windows system (Samahani kama hii ni bad assumption)

1.Baada ya kufanya kama walivyosema hapo juu Usi-Save Password Yako Mpya Kwenye Browser . Japokuwa ni rahisi kubonyeza link kuliko ku-type username na password usifanya hivyo na hasa kama hiyo account ina vitu nyeti. Nadhani teyari unaelewa matokeo yake.

2. Weka Comodo Firewall ili kama hawa jamaa wataweza kuingiza hizo program hawatweza ku-connect na internet.

Mimi waliwahi kuiba password zangu zote za "smartftp" halafu waka weka malicious links kweye index/ javascript files zote.
Kitu kilichonifanya nigundue hivyo ni kwamba domains ambazo sikuwahi kuconnect kwa kutumia "smartftp" hawakuweza kuweka hizo malicious links.
 
Back
Top Bottom