"unresponsive script" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"unresponsive script"

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by MIGNON, Aug 28, 2010.

 1. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2010
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,587
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  Jamani ni siku ya tatu leo na ka DELL kangu kako very slow na kanakwama mara kwa mara na kila wakti yanatokea maneno hayo hapo juu, nisaidieni.
  Nilikuwa natumia anti virus ya norton kwa miaka mitatu lakini wiki iliyopita iliondolewa na fundi na kuwekewa NOD 32.Fundi alidai ya kuwa pamoja na kuwa Norton inakubali update lakini si rahisi kuwa na valid antivirus kwa zaidi ya mwaka mmoja.
   
 2. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2010
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,587
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  Naona mnekaukia ile mbaya au ni kampeni za uchaguzi?
  Nilitafuta msaada kupitia google na nikaishia kwenye SMART CLEANER ambayo inahitaji nilipe kiasi cha fedha kwa kutumia visa.Nina card ya EXIM bank ila naomba ushauri kuhusu usalama wa account yangu.
   
 3. JuaKali

  JuaKali JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 785
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ushauri wangu jaribu kutafuta zile za bure kama "Microsoft Security Essentials" Inafanya vizuri sana, sijapata matatizo na virus kwa muda mrefu sana.
  Transactions za online inabidi uwe makini ile mbaya kwani uwezekano wa kuibiwa ni mkubwa sana hasa kama kadi yako imeunganinshwa pamoja na bank account yako. Kuna hawa jamaa wanitwa Paypal, kampuni unayofanya nayo biashara ikionyesha kuwa paypal ni moja njia za kufanya payment then unaweza register nao, halafu fanya malipo kupitia kwao. Huyo mwenye biashara anakuwa hana credit card information zako, usalama wa A/C yako utakuwa mkubwa sana...
   
Loading...