Msaada: Mwenye uwezo wa ku-protect CDs/DVD's or VCD's | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Mwenye uwezo wa ku-protect CDs/DVD's or VCD's

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by payuka, Jul 30, 2010.

 1. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Wajameni ninaomba mtu yeyote mwenye software/ au utaalam wa ku-protect CD/VCD/DVD zisiweze ku-kopiwa na wajanja wa mjini. Nina project ndogo ninayoifikiria kufanya hivo nahitaji kujua jinsi gani naweza kuprotect products zangu kwa kutumia software zinazo-mzuia mtu kukopy. Najua kuna taratibu nyingine za kisheria ( Copy Rights Rules), lakini kwa sasa zizungumzii hili.

  Natanguliza shukrani zangu kwa wadau wote, thanks so much!!!!!!


  email address: develo45@gmail.com
   
 2. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2010
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  payuka hata kama ukipata the software still still bado kuna programs ambazo even protected cds inaweza kukopy
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0

  refer to 1st post! siku hizi kila kitu kinawezekana, hata mtu wa kawaida tu anaweza kutumia deck ya dvd na PC yenye Tuner akacopy CD/DVD/BD hata iliyoprotected kwa tech ya hali ya juu!!
  Lakn protective progs ziko kibao, DBB,ProtectCD,HeaLOCK nk
   
 4. whizkid

  whizkid JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2010
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 301
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 60
  Pole sana, linda kazi/project yako kisheria tu maana CDs/DVDs physical protection ni sifuri kama alivyosema Amoeba hapo juu.
   
 5. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nashukuruni sana wadau wote kwa ushauri wenu!!!
   
 6. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2010
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Product yako, je ni lazima iwe kwenye CD/DVD au unaweza kutumia flash disk?
  Kama ilivyoelezewa hapo juu ni vigumu ku-protect 100% lakini muhimu unaweza tu discourage casual copier kwa kutumia security.
  Pengine angalia your project distribution numbers all together. Hii namaanisha bei ya mali yako. Inaeleweka kuwa provided bei ya product yako haitofautiani sana na zile ambazo zinaweza kupatikana under pirate umbrela many users wata opt kununua mali iliyo kosha. The %'ges ni kuwa provided original price is within 125-150% ya zile copied.
  Pia inategemea added value ambayo unaiambatanisha ya original distribution. Je mnunuzi anapata after sales service? kuna other fringe benefits hata kama sio product inayohitaji after sales kama vile information website. Haya yote yanaweza kukusaidia kudistribute product yako in original copy.

  All the best

  Kotin Karwak
   
Loading...