MSAADA WanaJF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MSAADA WanaJF

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kachanchabuseta, Sep 1, 2010.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  WanaJF naomba Msaada

  Laptop yangu iko slow saana inatumia window VISTA nikiwa natumia internet inakuwa slow saana. Nimejaribu kuscan using Avira lakini ikiscan na kufika katikati inazimika, hapo nalazimika kuwasha tena
   
 2. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  nakushauri uipeleke wa wataalamu wa IT watakusaidia zaidi!
   
 3. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2010
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ku scan ni kuondoa virus....ila kama una too many program boot at once....linaweza kuwa ni tatizo...kingine..fanya some disk clean up...to remove..files.
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mkuu asante tatizo nikiwa nascan the whole computer ikifika katikati inazima
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hujasema mashine yako ni Aina gani na Model gani. Ina memory kiasi gani?

  • Inawezekana tatizo likawa Power supply failure kama ni desktop au ni laptot aambayo battery yake ilishakuwa kauputi
  • Vile Vile inawezekana ni Dalili za HDD Kufa
  • Antivirus ikifanya kazi inatumia resoruces za CPU na Memory kwa kiasi kikubwa pia sasa isije ikawa mashine yako originally ilikuwa designed kwa Windows XP wewe umeweka windows Vista au 7 sasa ukiongezea na msalaba wa Scanning usishangae ikawa inajizima
  NB: Hakikisha pia kwa bahati mbaya mashine haijawa installed na antivirus mbili zinazopinga kwa mpigo. Hasa Norton. Norton ina tatizo la kufreez pc once ukiweka antivirus nyingine.

  haraka haraka unavyoelezea tatizo virus inaweza kuwa sababu ya miwsho kama ni kweli inajizima pale tu ukifanya scanning.

  Kuhusu kuwa slow ukiwa unatumia internet inawezekana sio tatizo la latpo inaweza kuwa pia ni Netwok strenght na bandwidth (Downloa/upload) . jaribu kucnguza kb/s za dowlink na uplink za modem( ISP issue) yako wakati iko slow zinakuwa ngapi?
   
 6. JuaKali

  JuaKali JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 785
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  @Mtazamaji hivi ni kwa nini badala ya kujibu swali unatanguliza maswali kibao? Kitu ukikijua eleza yaishe hii mambo ya kuulizana maswali kibao na mengine hayana uhusiano hata kidogo na isssue ya jamaa. Mfano Aina na Model ya computer vina uhusiano gani na kuwa slow unabrowse net?

  @King of Kings Jaribu kufuata ushauri wa BUSWELU kwa kuanzia, Kuna uwezekano mkubwa sana Hard drive yako haina space ya kutosha au kuna program zimekorofisha, Assumption Laptop ilikuwa inafanya kazi sawa sawa siku za nyuma. Clean up temporary and cached files. Halafu unaweza kutusaidia kidogo kwanza Iwashe halafu anza kuscan halafu hold down ctrl + Alt + Delete kwa pamoja, Windows task Manager itafunguka click Performance tab halafu tuambie Idadi ya processes na CPU Usage na hapo kwenye kibox cha Physical Memory tupe : Total na Available

  Funga programs zote kisha fungua command prompt harafu type hii command "chkdsk c:/f" Itakutatulia kama kuna tatizo katika hard disk yako.
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  @JuaKali wewe mkubwa umejuaje kama ni anaongelea laptop? Ndio maana Nikamuuliza Brand na Model. Wewe unaweza usione ni swali la muhimu Lakini kwenye remote troubleshooting na support nazofanya mm kitu cha kwanza nijue. This is my approach na inasaidia kuondoa maswali mengi tu au na hivyo kusaidi kutrobleshoot true problem kwa haraka.

  Pili elewa kuna baadhi ya model au clone machine zina matatizo fulani specific. Hivyo kujua Model sio jambo la kupuuzia kwenye remote troubleshooting

  Mimi matatizo niliyoelewa ni mawili ambayo ni tofauti kabisa
  • Kompyuta kujizima akiwa anafanya Scanning-Tukijua Model atleast tutajua Minimum Memory iliyokuwa kwenye hiyo mashine.tukijua Model tutajua kamani laptop au Kompyuta.Ukijua Model unaweza kusoma forums kuona kama ni tatizo la kawaida kwa watumiaji wengine. Ukijua Model unaweza kujua hata aina na ukubwa wa HDD Hardrive unahisi wewe ni tatizo.Kama inajizima akifanya scanning tatizo sio space ya Hard drive tatizo laweza kuwa ni Memory.
  • Slowness akiwa anatumia mtandao.
  Sasa mtu akiwa remote asipokuwa na detail za kutosha tunaweza tukaja na sababu zaidi ya hata kumi. The more anavyotoa detail the more uwezo wa ku identify true problem unakuwa mkubwa.
   
 8. JuaKali

  JuaKali JF-Expert Member

  #8
  Sep 2, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 785
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  Lengo halikuwa kubishana ni kujaribu kuelimishana, kwanza kabisa umeuliza "JuaKali wewe mkubwa umejuaje kama ni anaongelea laptop?" jibu ya swali lako angalia sentence ya kwanza kabisa ya mtoa hoja "Laptop yangu iko slow saana inatumia window VISTA " So moja kwa moja ninapomjibu nafahamu kuwa na deal na Laptop. Kutokana na uzoefu wangu watu wengi wana complain kuhusu matatizo ya laptop/ system zao kwa sababu kuna mabadiriko yametokea ambayo hayakuwapo jana, juzi au wiki iliyopita.
   
Loading...