Baba Mkubwa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 793
- 58
Wana Jf, msaada jamani.........Nimenunua komputa, used. Ni HP Pavilon. Ina lugha ya Kifini, ninataka kubadili lugha kwenda kiingereza. Nimeshindwa kubadili lugha. Nina CD ya VISTA, nimeshindwa kutoa window 7 na kuiweka hii VISTA...Msaa wana JF