Zantel packages | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zantel packages

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by WA MAMNDENII, Aug 26, 2010.

 1. WA MAMNDENII

  WA MAMNDENII JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2010
  Joined: Jun 5, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  nilisoma thread ya INVSIBLE juu ya zantel kupunguza bei za net kuwa sasa wana packge ya tsh 10,000 kwa 2GB. Mwanzoni walikuwa na packge ya 200MB kwa shs 10,000 ambayo ndo nilikuwa najinafasi nayo ,lakini majzi nilijaribu kuipata na kufuata utaratibu wao wa kuzi acces ikagoma ila ilikuwa kabla sijasoma thread ya invisible .sasa napenda wadau wanijuze ina maana unaponunua vocha za elfu kumi na kuzitumbukiza unakuwa tayari umepata hizo 2GB AU unafuata process yao ya ku send sms 0775XXXXX PLAN STAR kwenda 0776300300.
   
 2. Bu'yaka

  Bu'yaka JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 426
  Trophy Points: 80
  Halafu ikawaje hiyo thread ya INVISIBLE, kwa nini usiifate huko huko?
   
 3. WA MAMNDENII

  WA MAMNDENII JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2010
  Joined: Jun 5, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  nimeona kama thread imeshapoa hivyo nikahisi wadau wengi wasingeisoma
   
 4. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Kweli usemavyo, Lakini huoni ingekuwa rahisi zaidi kama ungewapigia zantel wenyewe?
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Piga customer care
   
 6. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli hii package ni bomba sana watu sasa tunafaidi.
  Weka tu Buku 10 kwenye ac yako ya zantel CDMA halafu piga *775#
  kwenye simu yako ya zantel
  hapo chagua
  mteja wa High life week.
  utaendelea kufuata maelekezo
  Ukikwama tuulizane humuhumu
   
 7. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  We mbona unachanganya habari hapa? ina maana buku 10 kwa High life ni wiki moja? na siyo unapewa 2gb kwa mwezi?
  Ebu fafanua maelezo yako mkuu maana naona umetuchanganya hapa
   
 8. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli hapo kuna kuchagua
  Ama nunua 2Gb kwa alfu 10 halafu hakikisha unazimaliza ndani ya wiki:glasses-nerdy:! inaitwa HighLife Week
  Au nunua hizohizo 2Gb kwa Alfu 40 na uzitumie ndani ya mwezi. inaitwa Highlife Month.
  Hapo uchaguzi ni wako!

  Mi naona bora wiki na maranyingi nazinunua hizo mara mbili ndani ya wiki moja! inaruhusiwa. Yaani namaliza hizo 2Gb kwa siku 2 naweka buku 10 nyingine napewa tena! Mambo Poooowa:smile-big:
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hawa noa bana wananivuruga tu mimi
   
 10. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #10
  Sep 2, 2010
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Ku recharge kwa ajili ya data tumia *775# na sio recharge ya voice ya 104. (unaingiza ktk simu yako ya zantel, kwa kufuata directions kutoka kwenye message utakayopata baada ya kubonyeza *775#)
  Ukimaliza kurecharge piga tena *775# na chagua plan unayotaka. Ipo highlife ya 2Gb kwa wiki kwa Tshs 10,000, na pia ipo plan ya mwezi ya 2GB kwa mwezi, chaguo ni lako.
  Mimi natumia 2gb kwa wiki, safi sana!
   
 11. tototundu

  tototundu Senior Member

  #11
  Sep 4, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  in short unahitaji kuwa mtega wa zantel highlife kabla ya kuweza kufaidi huduma zao.

  kujiunga na zantel highlife piga toka kwenye simu yako ya mkononi (siyo modem) namba *190#.

  baada ya hapo pia *775# then fuata maelekezo.
   
 12. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #12
  Sep 4, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Ok ngoja nijaribu...
   
 13. alsaidy

  alsaidy JF-Expert Member

  #13
  Sep 4, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mara ya mwisho nimenunua kwa TZS 35,000 2GB High Life monthly wamepandisha mpaka TZS 40,000 au??
   
 14. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #14
  Sep 4, 2010
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Bado ni 35,000 kwa 2Gb kwa mwezi.

  Kuna mwenye taarifa ni mtandao gani waweza kupata internet maeneo ya Marangu mtoni - kule juu mamba mboni / maande. Nasafiri kwenda huko karibuni na ningependa nijipange niweze kuwa online kwa kipindi nitakachokuwepo huko.
  Thanks
   
 15. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #15
  Sep 4, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Process wanayopitia NI MBAYA, haipendezi kumlazimisha mteja kununua line ya Zantel na awe pia na modem ya Zantel... Ni process ndefu sana hii
   
 16. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #16
  Sep 5, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,946
  Likes Received: 1,505
  Trophy Points: 280
  Hata mimi iligoma ilibidi niende pale Zantel napo nilipowaambia wakaanza kunibishia nikajiribu tena ikashindikana,ikabidi mdada wa CC aweke kwa kutumia simu yake ndio ikakubali lakini ajabu kila wakati inaonyesha salio nis sh 3000 ingawa niliweka 10000 ila bado natumia toka nilivyoweka ,na ile ya kusema 1GB ni sh 10000 haipo.
  Mpaka sasa sitaki kuweka buku 10 yangu tena kwani Zantel naona wameshiba,kama CCM walivyoshiba pilau ya TUCTA,naona nikimbilie ZAIN
   
 17. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #17
  Sep 5, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  link ya thread aliyoanzisha invizibo ipo wapi? iweke hapa
  sure said
  Unajua kila siku ukitegemea invisible kukuwekea kila kitu hapa utakuja kukwama siku moja maana huyo invisible ni ROBOT na siku moja anaweza akawa hajawekwa chaji ukabaki unabung'aa hapa bila mahala pa kwenda.
  Ukishapata info ifanyie kazi nenda kwenye source upate uhakika zaidi
  umeniudhiiiii..........
   
 18. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #18
  Sep 5, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,946
  Likes Received: 1,505
  Trophy Points: 280
  Nao hawajui customer care za bongo zinaendana angalau kwa kujua kimombo lakini sio kazi,mi nilitarajia CC wa kwenye sehemu za technical thing qwangekaa watu wenye angalau uelewa wa mambo ya kiufundi ambayo ndio msingi mkuu wa kazi,ni ajabu kwa mfano CC wa benki asijue mambo ya benki pale mteja anapotaka usaidizi,lakini kwenye makampuni ya simu imekuwa kawaida watu wa CC hawajui hicho zaidi ya "whatzup nyingi''
   
 19. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #19
  Sep 5, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,946
  Likes Received: 1,505
  Trophy Points: 280
  Kama sina laini ya Zantel na nina modem ya zantel tu nitafanyaje,natumia laini ya Zain
   
 20. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #20
  Sep 5, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli kabisa ni Elfu 35 2GB Highlife Month nilikosea. Kujikosoa imo!
   
Loading...