Have you heard of this global competition for developers from The World Bank?
I think it gives developers a great opportunity to showcase your skill.
Check out the requirements on:-
Apps for...
wadau habari zenu, poleni na mihangaiko. hii thread ipo hapa kuomba kama kuna mdau yeyote mwenye registration keys za IDM yani Internet download manager, i've found this program so helpful to me...
WHAT IS A VIRUS?
Explanation of virus:
1) Virus is a little program that its activity can destruct/destroy
some files and a computer system. If you don't open this program, it still
inactive and...
Jamani laptop yangu hp mouse yake ya kugusa (built in mouse) haidetect, imeanza ghafla nilipo washa nikashangaa kila nikigusa na kidole mshale upo kimya.
Imenibidi nitafute mouse ya kawaida ya...
Hellow wana JF!!
Jamani nina simu aina ya NOKIA 6120 Classic ambayo ina 35MB Free User memory (Internal Phone Memory; C.).
Ajabu ni kwamba, wala sijasevu vitu vingi zaidi ya contacts,sms na...
Wadau msaada wenu tafadhali simu yangu T-Mobile MDA Vario 2 imepoteza network baada ya kuifanyia hard reset, hakuna kupiga wala kupokea simu,hakuna net wala massege ya aina yoyote,
baada ya ku...
Here are some shortcut keys to help improve your productivity and user experience with Windows 7.
General Windows 7 Shortcuts
Shortcut Description
Win + UP...
Mimi ni mpenzi wa kujaribu Programu za masuala ya Ulinzi na Usalama kama Antivirus , Internet Security , Firewall , Antispyware na nyingine nyingi tu kwa siku za karibuni nimekuwa mjaribuji wa AVG...
Drive Encryption Software: How It Could Save A UK Captain's Career Over £18.87 Mistake
The failure to use full disk encryption like AlertBoot means the end of a fast-track career...
HI ALL
I'M LOOKING FOR A COMPANY WHICH CAN PROVIDE A DATA RECOVERY SITE. I HAVE MY OFFICE WHERE I KEEP ALL THE SERVERS , NOW I WANT AN OFF SITE LOCATION WHERE I CAN KEEP THE SERVERS AND BEING...
Wateknolojia mpo!!!!! Nina modem ya Zain ambayo haikubali laini nyingine zaidi ya ZAIN, modem hii kila nikiitumia naaona ipo slow sana na hivyo inanikata stimu. Naomben mnijulishe namna ya...
Innovative web development techniques have become the most important part of internet marketing. Creative and attractive websites that attract more and more websites have been developed by...
hi guys,
Ipod yangu nikiiunga kwenye computer inashindwa kuwa detected yaaani computer hata haitikisiki.
Ipod ni apple original black 30GB video.
Nifanyeje ili iweze kukubali kuunga kwenye...
Waheshimiwa naombeni mnisaidie mtandao unaotoa huduma ya internet kwa bei ya chini kwa simu za mkononi.
Nimenunua kifurushi cha MB 50 kwa sh.2000(monthly bundle)lakini naona hakitoshi na speed ni...