msaada kujua mafundi stadi wa simu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada kujua mafundi stadi wa simu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Paul S.S, Oct 26, 2010.

 1. P

  Paul S.S Verified User

  #1
  Oct 26, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Wadau msaada wenu tafadhali simu yangu T-Mobile MDA Vario 2 imepoteza network baada ya kuifanyia hard reset, hakuna kupiga wala kupokea simu,hakuna net wala massege ya aina yoyote,
  baada ya ku google sana inaonekana initatizo linalotaka mtaalamu kulitatua ,maana imekufa radio rom,
  Kama ikitokea mwenye ujuzi nalo ntashukuru, lakini kikubwa ni kutaka kujua ni duka gani au mafundi gani hapa Dar wenye ujuzi na utalaamu wa kutengeneza simu complicated, nimeambiwa kuna duka somewhere at Samora lakini sijalipata vizuri, mafundi wa mtaani wengi wamechemsha
  Your assistance will be highly appreciated
   
 2. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 996
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  tatizo lako lilikwisha au bado.?radio rom haiwezi kufa kwa hard reset.
   
 3. WABUSH

  WABUSH JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2010
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Simu hazitengenezwi mwana siku hizi! La utakuwa unashinda kwa fundi simu. simply buy anaza
   
 4. P

  Paul S.S Verified User

  #4
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu tatizo bado, ilianza kustuck nikaona ni hard reset, baada ya hapo ikawa hivyo. Na nikiingia ktk device information nakuta kuna rom version na date yake,lakini radio rom versiom na protocol viko nil.
  Na ninapowasha inatoke no gsm
  Nimejaribu kugoogle sana nikapata site moja xda-developer.com nikagundua radio rom imecorrupt hivyo natakiwa niifanyie full rom upgrade au radio only upgration, na ilikukamilisha hilo zoezi all u need is computer, usb cable,some software to download na utaalam, ninachokosa mimi ni utaalamu
  kama upo vizuri ntashukuru ukinipa mwongozo,na ukiweza tembelea hiyo forum na usearch "no gsm" au "corrupt radio"for htc hermes or herm300 ni majina ya hiyo simu
  nilijaribu nikashindwa simu ikastuc kabisa hata hivyo kwa msaada wa memba nikairudisha kawaida lakini no calls
  naomba tembelea hapa http://forum.xda-developers.com/wiki/index.php?title=HTC_Hermes kisha nenda upgrading for beginners na hermers upgrading guide
  natumai kama nimjuzi kidogo wa pc utanisaidia kunyumbulisha inavyotakiwa
  thanx in advance for your time
   
 5. P

  Paul S.S Verified User

  #5
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  mkuu im talking about pocket pc, ingekuwa hivi vimeo vyetu sawa,
  na tatizo lake software akipatikana mtaalamu ana upgrade mchezo kwisha
   
 6. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu tatizo lako ni dogo mana tayari unamajibu yote kama umeshadounloud file inamana umekwama namna ya kuingiza kwenye flash mode ili uweze upgrade naweza kukusaidia kwa hilo mkuu ni pm
   
 7. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #7
  Nov 14, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Huyo mtaalamu aliyepo Samora nadhani unamsema Bwana Sele kama sijakosea he is a good technician that i trust here in town,
   
 8. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #8
  Nov 14, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,272
  Trophy Points: 280
  Sele hajui nayeye upeleka kwa mtaalamu wao anaitwa Mwesiga yupo samora jengo emprees juu! Mtafute kwa hii no:0754501807
   
Loading...