Kwahiyo tumekuwa tukisoma na kujadili mambo kadhaa kuhusu taarifa za siri za Serikali ya Marekani kuvuja na kuingia kwenye mtandao wa WIKILEAKS na mtandao huo kuweka taarifa hizo hewani kwa ajili...
Do you want to test your antivirus? Just download virus to your computer and wach what policy will by of your Antivirus...
Important note: WE cannot be held responsible when these files or...
Hallo wana JF!
Jamani mimi natumia Windows Vista - Home Premium, ambayo ni 64-Bit version.
Tatizo la hii ni kwamba karibu kila mara ninapo install windows update za microsoft,...na baadae...
Habari zenu wote wakuu wa hii J.Forums kuna Rafiki yangu ana matatizo na Laptop yake ya Dell kuhusu swala la Ku Connect Wireless icon yake chini imekuwa Disable Radio na
nimejaribu kwenye hiyo...
Tafadhali naomba msaada kwa wataalamu wahusika.
Nina laptop yangu ni hp nimeinunua kama miaka miwili nyuma lakini huwa siitumii sana.
Operating system in windows vista na program za microsoft...
Nielekezeni jinsi ya kuunganisha thread zaidi ya moja kwenye thread moja hapo nimepapasa mpaka basi sasa naomba msaada hata invisible kama yupo karibu nahitaji baraka zako!!
Futa kumbukumbu kabla ya kuiuza kompyuta
Nimejaribu kuipanga bila mafanikio,so kwa original Post: Nena HAPA
Unataka kuuza kompyuta yako na kununua mpya,lakini kwenye kompyuta yako kuna...
Create Own Fonts without any software
1. Click "Start"
2. Click "Run"
3. Type in "eudcedit"
4. The program that pops up is a hidden font editor that lets you create your own fonts and...
PLEASE FORWARD THIS WARNING AMONG YOUR FRIENDS, FAMILY AND CONTACTS!
You should be alert during the next few days. Do not open any message with an attachment entitled 'POSTCARD FROM...
Kwa sasa kampuni nyingi zinazotangaza bidhaa zao kwa njia ya mtandao zinaangalia zaidi uwingi wa watu wanaotembelea tovuti au blogu husika toka maeneo Fulani , wanaangalia tabia za watu hao...
Wakee nimeandaa hii video tutorial ambazo ni mfululizo kwa wale wanaotaka kujifunza GNS3 Ijue GNS3 - Sehemu II
Pia video za CCNA zipo kwenye maandalizi.
Kilongwe
Nimesakinisha WinXP Pro SP2 kwenye mashine moja nzee hivi, Dell Latitude. Sasa hiyo kopi niliyosakinisha ilikuwa ni kwa ajili ya akiba (backup) ya mashine za HP Compaq.
Usakinishaji ukafanikiwa...
Experience The 3D Revolution On Your PC‏
The Third Dimension Revealed
Presented by:
By Loyd Case, Content Works
Humans evolved with two eyes set several inches apart, giving us the...
Salaam wakuu,
Naomba kama kuna mtaalaam mwenye desa la memorundum of association . Nataka kufungua company ndogo ya IT. Thanks in advance.
Email: supa.engineer@live.com
Waungwana ninahitaji motherboard ya Laptop, Dell Latitude ATG D630, kama kuna mtu anayo, au anafahamu zinapatikana wapi anijulishe, mpya au used zote zinakubalika.