yule chizicomputer kwa mambo ya technology utampata kama una shida kujua kipaji njoo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

yule chizicomputer kwa mambo ya technology utampata kama una shida kujua kipaji njoo

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by edjizzo, Nov 28, 2010.

 1. edjizzo

  edjizzo Member

  #1
  Nov 28, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama unataka kupata maujanja chizicomputer :chizicomputer.blogspot.com
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Aisee

  Sasa unatangaza kitu wakati hujawa tayari. Ukiwa tayari usishangae hutapata response sababu watu wataotembelea blog yako leo hii 28 Nov hawataka kutembea tena. Why?

  Ni kichekesho kutangaza unauza gari huku umelipiga picha likiwa juu ya mawe?

  tafakari.
   
 3. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Uko sirias kweli? Tehe. Halafu lengo lako ni maujanja ya ICT tu au na porn kidogoo?  Fanya kazi kwanza, take your time. Halafu marafiki zako watajua tu unayo-blog, apo ndo ujiko utakapoanza!!! Buhahahah
   
 4. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nika click close button :lol:
   
 5. BrainPower

  BrainPower Senior Member

  #5
  Nov 29, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  @edjizzo, malizia kudesign hiyo blog bwana. Nakushauri ondoa hiyo Warning ya kuingia. Alafu mbona homepage yako , content inaanza Katikati ya page badala ya kuanza Juu. Ndio maana page inaonekana blank.

  Hata Michuzi ana blogu nzuri zaidi yako alafu fani yake ni kupiga picha.....mbona wewe inakupiga chenga ?!?!
   
 6. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  KAMA UANKIPAJI NA HUWEZO WA KOMPUTER AU SHIDA BINAFSI HAPA NDIO SULUTION WELCOME
  Aupo makini naunachokifanya jipange kwanza then tangaza hapo kwenye red karekebishe!
   
Loading...