yshima
Member
- Sep 12, 2010
- 31
- 1
Hallo wana JF!
Jamani mimi natumia Windows Vista - Home Premium, ambayo ni 64-Bit version.
Tatizo la hii ni kwamba karibu kila mara ninapo install windows update za microsoft,...na baadae ninapo restart computer, ..huwa inadisplay Blue Screen..... halaf nakuwa siwezi kuitumia tena hadi nalazimika kufanya system restore....ndipo niweze kuitumia tena...na wakati huo inakuwa imesha ziondoa tena hizo updates.
Sasa hili tatizo la blue screen linatokea mara nyingi kiasi kwamba limenichosha na kwamba naanza kufikiria kuondoa wind. vista niweke windows 7!
Sijui kama kuna njia ya kukomesha tatizo hili la blue screen kila ninapo install updates....kama kuna anaye fahamu juu ya hilo naomba anisaidie
Au ni wapi hapa TZ nnapo weza kupata genuine copy ya windows 7,...na bei zake zikoje .... Ps nisaidieni hilo jamani!