bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,720
- 7,446
Tafadhali naomba msaada kwa wataalamu wahusika.
Nina laptop yangu ni hp nimeinunua kama miaka miwili nyuma lakini huwa siitumii sana.
Operating system in windows vista na program za microsoft (word, excel) ni za 2007. Inayo norton antivirus ambayo ni up to date.
Hivi karibuni nimenotice kwamba iko veeeeeery slow, yaani utasubiri mpaka uchoke ndiyo uweze kufungua ms word or excel.
Vile vile ukitaka kudownload attachment kutoka kwenye email inakupa error message na huwezi kudownload.
Naomba wataalamu munisaidie maana naipenda sana laptop yangu hasa keyboard yake iko safi kabisa.