Ni ukweli makampuni mengi ya simu yaana ushindani mkubwa sana na kila siku wanapenda kuwaletea update mpya Ili kufanya simu zao ziwe bora zaidi kiulinzi na vitu vingine.
Lakini hapo hapo...
Wandugu habari
Natumia iphone8 shida nayopata ni Mwamba nikiwasha data huwa unapata sana joto… tatizo inaweza kuwa nini wajuzi wa mambo
Naomba msaada wenu
Hello wajuzi wa mambo,
Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, kutokana na hali ya hewa nafikiria kufunga mfumo wa AC nyumbani (sebuleni) kwa kuanzia.
Hata hivyo nimekuwa nikisikia mengi, mf; AC...
Wapendwa naomba mnisaidie filta nzuri ya camera ya iphone!
Naona wenzangu wakipiga picha zinakua nzuri ila mie na iphone yangu natoka kama nilivyo!
Naomben msaada nidownload filter moja matata...
Salaam wanajukwaa wenzangu,
Nimekuwa nikitumia startimes app kuangalia matangazo ya mpira live lakini napata changamoto ya kuona picha ndogo kwa sababu sipati full screen, nifanyeje wadau? Mwenye...
Redio ya kwanza inayotumia Mfumo wa Mawimbi ilianza kurusha Matangazo Mwaka 1895 baada ya Mvumbuzi Guglielmo Marconi kutoka Italia kufanikisha zoezi la Redio hiyo kusikika katika eneo la Kilomita...
Kuna mdau nilikua naongea nae anasema anablog tano hadi nimeshtuka!
Anasema kwa mwezi angalau kuliko alivo kua na blog moja, wadau wazoefu hili likoje?
Habari za muda huu wanajamvi!
Ningependa niende moja kwa moja kwa mada husika pasi na kuwapotezea muda wa kusoma makala ndefu wakuu najua mmechoka na usiku huu
Nahitaji sticker za kubandika...
Habari wandugu, simu yangu sikumbuki niliiweka wapi jana(nilikuwa bize na mgonjwa) sasa bado inaita hadi sasa, nawezaje kuipata?
maeneo nayafahau ila sijui exact place
Alipigiwa na wale matapeli wa mitandaoni wakampiga hela kwa kujidai namba yake inafungiwa kwa sababu inatumiwa na watu wawili na pia kuna hela imekuja kwake akafata maelezo akatapeliwa.
Pia, Kuna...
Wakuu nawasalimu,
Miaka kadhaa iliyopita niliajiriwa, nikafungua akaunti ambayo inaniwezesha kuangalia mshahara wangu na makato mengine kwenye mshahara wangu.
Imepita miaka kadhaa Sasa tangu...
TOFAUTI KATI YA IP CAMERA NA ANALOGY CAMERA
ANALOGY CCTV CAMERA
CCTV kirefu chake ni Closed-Circuit Television,Ni mfumo wa kukusanya taarifa za picha za video katika eneo Fulani kwa kutumia...
Mada yangu ya leo itaenda kwa wale wapiga picha za sherehe au shughuli, wauzaji wa camera pamoja na watumiaji wa Camera (sio camera za kwenye simu)
Nimepanga kununua Camera kwaajili ya matumizi...
Mimi ni wakala wa mitandao ya simu, eneo nililopo lina wateja wengi hivyo kuna uwezekano wa kuhudumia wateja zaidi ya 150 kwa siku, shida ni kwamba huwa nakuwa na uraratibu wa kurekodi meseji zote...
Habari zenuu
Samahani naomba kwa wenye uzoefu na ujuzi, ninataka kufunga security camera nyumbani.
Naomba kujua gharama na aina nzuri kwenye recording na ambayo pia ni rahisi kutumia (kuisoma)...
Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Oxford Insights inayoonesha Utayari wa Serikali za Nchi 181 duniani kuruhusu Teknolojia ya Matumizi ya Akili Bandia (AI), umeiweka Tanzania katika nafasi ya 14...
Wakuu habari za saa hizi...
Naombeni msaada wenu,
Nilikua nabadili taarifa za simu yangu coz mtumiaji anaenda kuwa mwingine nilichokosea ni kucancel kabla sijamaliza kujaza detail ikawa...
Welcome to DoSomething.org, a global movement of millions of young people making positive change, online and off! The 11 facts you want are below, and the sources for the facts are at the very...
Habari wanaJF,
Sometimes nakuta missed calls [emoji338] kwenye simu yangu ila ni namba angu nayoitumia inapiga kwa SIMCARD hii hii au ingine yaan laini ingine iliyoko kwenye simu yangu.
Tatizo...