Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Vista Error Fix, Windows Error Fix, XP Error Fix When you try to run Task Manager in Windows Vista or in XP,sometimes you receive an error message that says; Task Manager has been disabled by...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wataalamu wa JeiEff! Hey guys! Naombeni mnisaidie kitu..... Nimeweza kuback up sms zangu kwenye pc....wakati nazisave nilipata option mbili kuzisave kama TAB file au Comma separated values...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tafadhilini wakuu,naomba msaada wenu,iPhone yangu ni model MB489B,nimetafuta video camera nimekosa,je ni simu yangu kimeo,mie mshamba au nnini?tafadhali mnisaidie
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jana kulikuwa na thread watu unapeana ufahamu wa mambo mbali mbali kuhusu misamiati. niliyotaja hapo juu Nimeamua kufungua uzi tuelimishane tukosoane kistaarabu kwa lugha nyepesi ili...
0 Reactions
34 Replies
11K Views
Can any one volunteer to give a recipe of making home made grape wine
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada wenu tafadhali.iPhone yangu ni model MB489B,nimetafuta video camera lakini nimekosa,je ni ushamba wangu,au mchina kafanya vitu vyake?Kama kuna mwenye kuijua tafadhali anisaidie...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tafadhilini wakuu,naomba msaada wenu,iPhone yangu ni model MB489B,nimetafuta video camera nimekosa,je ni simu yangu kimeo,mie mshamba au nnini?tafadhali mnisaidie
0 Reactions
1 Replies
838 Views
What follows is a discussion which really needs a thought. Social networking is one of the growing services provided by the internet. Though most people and businesses use the service around the...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hi members, laptop yangu inatatizo la kuboot, nimetest CD-Drive, na HDD ni nzima zina boot kwenye mashine nyingine, nimejaribu kuformat inasoma CD, nikopress any key haindelei, help plzzzzz
0 Reactions
26 Replies
5K Views
– Tue Jan 18, 4:02 pm ET Get ready for the next generation of passenger airplanes. NASA has taken the wraps off three concept designs for quiet, energy efficient aircraft that could potentially...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau screen yangu ya Laptop aina ya IBM ThinkPad T30 imekufa, sasa nataka kuibadilisha, je zinapatikana wapi hapa Bongo na kwa bei gani? Mdau anayejua naomba msaada jamani.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
selling 4 phtoshop dvd tutorials (not original) each for 50 thou. these are some very few examples what u can d after finishing them
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ni mtandao gani hapa TZ unatoa huduma bomba za blackberry internet?
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Wandugu naomba kushare hii kitu naona imetulia, Using this method, a user can shutdown, restart, hibernate, etc. his or her computer, just by sending an email from his or her phone. To do...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hapa jamvini pana wajuzi wa IT wengi sana, wakiwemo ma-mods. Kwa nini imeshindikana posts kuwa arranged serially kwa kufuata tarehe za ku-post? Yaani most recent ziwe mwanzo. Kwa sasa utakuta...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani, hivi TIRDO, au Tanzania Industrial Research and Development inafanya kazi gani tena? Mbona hatujawahi kusikia popote kuhusu tafiti zao wanazofanya? Halafu wanafanya nini tofauti na ile...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani wana IT, nawaombeni msaada wa procedure ya kuconfigure microsoft outlook iwe client wa e-mails zangu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…