je inawezekana modem ya safaricom ikatumia laini ya voda???

Wakuu naomba jibu

kama unayo si ujaribu.

alafu swali lako limekaa vibaya .hakuna modem ya safari com. safaricom ni kampuni ya kutoa huduma za mawasiliano. au pia wanatengenza na modem na simu.?

kama unayo si ujaribu.

alafu swali lako limekaa vibaya .hakuna modem ya safari com. safaricom ni kampuni ya kutoa huduma za mawasiliano. au pia wanatengenza na modem na simu.?

swali lake lipo sahihi ila lipo kifupi sana safaricom ni kama voda tigo zain nao wana cm zao na modem zao pia mkuu hope umeelewa mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom