Blackberry internet | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Blackberry internet

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mpita Njia, Jan 19, 2011.

 1. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ni mtandao gani hapa TZ unatoa huduma bomba za blackberry internet?
   
 2. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  yote inatoa ila 2 ndio bomba zaidi voda na airtel unalipia kwa mwezi unlimited mkuu
   
 3. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #3
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Mimi nimetumia Zantel ikawa inanikorofisha most of the time inakuwa down nzuri ni airtel natumia mpaka sasa na matatizo ni mara chache sana speed nzuri na huduma yake ni unlimited. Ni PM BB PIN yako nikuadd kwenye BlackBerry Messenger.
   
 4. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,576
  Likes Received: 18,548
  Trophy Points: 280
  mimi niko voda. unalipia ile 35 kwa mwezi, unakula unlimited access 24/7 na ukiunganisha simu yako kwenye pc kama modern, speed yake ni kubwa kuliko moderm yoyote.

  Ulipia hiyo balck bery service na kubadili simu kwa kutumia Samsung smart phone zake za android au bada, utajiona uko ulaya, ni speed kubwa ya ajabu, unaangalia tv dunia nzima au U-Tube very clear kwa HD ikiwa ndio simu pekee mpaka sasa yenye HD video stream!.
  Japo zoezi hilo nimelifanya Desemba yote mpaka sasa bili haijaja, nitaangalia kama kuna tofauti ya bili, kwa kawaida bili huja kabla ya tarehe 10, tunaenda 20 no bili, au labda mashine zao zimetusahau!.
   
 5. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #5
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Inaonyesha mashine zao zinaendelea kukalukuleti figures kwahiyo usiwe na wasiwasi bili bado inaandaliwa.

  Je ninawezaje kutumia BlackBerry yangu kama modem kwenye laptop?
   
 6. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ndio unaweza kutumia
   
 7. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
   
 8. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #8
  Jan 19, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hii ndo service gani tena?
   
 9. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #9
  Jan 19, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mkuu hapo kwenye rangi ya Msimbazi sijakupata hata chepe..unamaanisha hiyo BB yako inakuwezesha kujikuta upo Ulaya? au Kumaa.aanisha unaweza kuangalia YOUTUBE Video kupitia BB Service ya Voda?? Kwa Mtandao kama TIGO BB Service haikuwezeshi kuingia hata kwenye Blackberry Application world ukiload kwenye "BlackBerry Application" inaku prompt " BB World App is not available in your country"...

  Tafadhali ufafanuzi.
   
 10. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #10
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Kwenye blackberry kuna kitu kinaitwa PIN hii ni unique id kila blackberry inayo unaweza kumadd mtu kwenye blackberry messenger bbm na mkawa mnashare files, songs na chatting yaani bbbm ni kama msn messenger au zaidi ya msn messenger.

  Once ukianza kutumia blackberry phones huwezi kutumia simu nyingine unless unatumia kwa kupiga na kupokea simu tu.
   
 11. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #11
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Jibu lako halisaidii mkuu ungeweka bayana how can you use your connect bb on BIS as a modem. Thanks.
   
 12. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #12
  Jan 19, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  the same na maelezo hayajitoshelezi
   
 13. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #13
  Jan 19, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  si kweli ukitumia bb utoweza kuacha na kutumia cm ingine me nilishatumia sana lakini ss natumia samsung ila napenda zaidi nokia
   
 14. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #14
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160

  Labda lugha niliyoitumia imekukwaza Mkuu anyway vipi nitatumia Blackberry iliyo na BIS Blackberry Internet Service kama modemu/kingamuzi cha kuperuzi mtandao kwenye laptopu/ kumputa ya kupakatwa?
   
 15. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #15
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Inategemea ulikuwa unatumia Blackberry yako vipi mkuu, mfano mimi marafiki na ndugu zangu wanatumia BlackBerry Messenger nina contact ya watu kama 75. Unaweza kufanya konferensi kwenye bbm chat, kutuma clips, nyimbo na picha. Unapokea e mail kama meseji ya simu inavyoingia. Unaweza kudownload nyimbo, clips na voice notes. Ukiwa na unaweza kujipima joto kwa kubonyeza namba 9*7 unaweka kwenye paji la uso then unabonyeza Y. Au kupima temperature ya ndani ya nyumba yako kwa kubonyeza 6++ usipige simu na baada ya dakika tatu bonyeza L ili kujua temperature.

  Sawa drphone?
   
 16. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #16
  Jan 19, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  ok . BB gurus
  we are enjoying the debate
   
 17. Revolution

  Revolution JF-Expert Member

  #17
  Jan 19, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 567
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  Hapo vp?
   
 18. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #18
  Jan 19, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hapo shwari mkubwa, kwani aje?
   
 19. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #19
  Jan 19, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  aijanikwazwa ila nilikujibu kulingana na maelezo yako
  so ni hivi kwenye laptop yako inabidi uwe na bb desktop maneger ambayo itakuwezesha kulink na pc na bb yako
   
 20. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #20
  Jan 19, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu yote unayosema ya messenger yapo kwenye cm nyingi tu na kwa ufanisi zaidi wengi wanachukia bb pamoja na mm kwa ajili ya application zake azipo friendly sana kama nokia,samsung nk ni hayo tu alafu ucsahau me ni dr wa hayo mambo
   
Loading...