iPhone yangu siielewi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

iPhone yangu siielewi

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kitabu, Jan 22, 2011.

 1. Kitabu

  Kitabu JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 257
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Tafadhilini wakuu,naomba msaada wenu,iPhone yangu ni model MB489B,nimetafuta video camera nimekosa,je ni simu yangu kimeo,mie mshamba au nnini?tafadhali mnisaidie
   
 2. P

  Paul S.S Verified User

  #2
  Jan 22, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu huoni kama umetuma thread moja zaidi ya mara mbili.
  Mods futeni hizi kitu ibaki moja
   
 3. Msolo

  Msolo JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2011
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 868
  Likes Received: 676
  Trophy Points: 180
  Sio kimeo, ni version yao ya nyuma kidogo, check ts specification u'll find out abt it.
   
 4. Kitabu

  Kitabu JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 257
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mkuu mtandao ulikuwa unasumbua,sikujua Kama nimeingiza thread zaidi ya moja.sorry.
   
 5. Kitabu

  Kitabu JF-Expert Member

  #5
  Jan 22, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 257
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nashukuru sana Msolo kwa msaada wako
   
Loading...