Laptop yangu haiingi kwenye windows | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Laptop yangu haiingi kwenye windows

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Msolo, Jan 18, 2011.

 1. Msolo

  Msolo JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 851
  Likes Received: 654
  Trophy Points: 180
  Hi members, laptop yangu inatatizo la kuboot, nimetest CD-Drive, na HDD ni nzima zina boot kwenye mashine nyingine, nimejaribu kuformat inasoma CD, nikopress any key haindelei, help plzzzzz
   
 2. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  am telling u will be asked two to four questions before you get any help because u have not specified your problem clearly.
  just wait......
   
 3. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2011
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Try to boot in safe mode
   
 4. Msolo

  Msolo JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 851
  Likes Received: 654
  Trophy Points: 180
  tatizo ni kwamba, inawaka ila haiwezi kuboot na kuload window, ila HDD ipo fresh inaweza boot kwenye mashine nyingine,pia wakati wa kuformat inasoma cd, ikija ile msg ya kupress any key ili iendelee na process, nikpress key ndio inaishia hapo
   
 5. Msolo

  Msolo JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 851
  Likes Received: 654
  Trophy Points: 180
  tatizo ni kwamba, inawaka ila haiwezi kuboot na kuload window, ila HDD ipo fresh inaweza boot kwenye mashine nyingine,pia wakati wa kuformat inasoma cd, ikija ile msg ya kupress any key ili iendelee na process, nikpress key ndio inaishia hapo
   
 6. Observer2010

  Observer2010 Senior Member

  #6
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hi Msolo, japokuwa maelezo yako yapo juu juu sana, maana kuna mengi unatakiwa uyafafanue ili upate precisely solutions, hata hivyo jaribu yafuatayo.

  Solution 1. Laptop yako inapoanza kuboot tu, kuna options, sasa kutegemea na aina ya laptop yako na OS uliyonayo itakupa option ya kuirecover (ie. press F11 for recovery), then press accordingly, laptop yako itarecover, baada ya hapo itakupa options za kuendelea na recovery procedures. Hii itategemea na stage inayofail kuboot.

  Solution2. Tafuta restore CD inayoendana na model ya laptop yako na pia OS iliyopo kwenye laptop yako, it means km ni Dell, HP etc kuna corresponding restore CD zake ambazo pia zitategemea aina ya windows uliyoinstall, km ni Windows 98, XP, vista, window 7 etc. then boot hiyo laptop yako ukitumia hiyo restore CD.

  Solution 3. Tafuta original CD ya OS uliyoinstall kwenye laptop yako, au ya version ya juu yake then boot kwa kutumia hiyo CD. It means km OS iliyopo ni windows XP, utatumia CD ya XP, Vista au Windows 7. huwezi enda in opposite way ie kudowngrade OS.

  Kumbuka,

  1. Kwa solutions zote hapo juu utaloose all saved documents ila laptop yako itafanya kazi tena ikiwa ipo fresh.

  2. Install latest antivirus softwares baada ya kuiboot, esp km unaitumia kwenye internet au unatumia flash. Maana tatizo la laptop yako linaonesha baadhi ya boot files zimekuwa attacked na viruses na worms. Pia kumbuka kuupdate laptop yako accordingly.

  3. Tumia CDs zinazoendana na model ya laptop yako na pia OS km nilivyokuelezea hapo juu.

  4. Hakikisha unatumia CD ya OS ambayo CD ROM yako inauwezo wa kuisoma, it means km ROM ya laptop yako haina uwezo wa kusoma DVD then ukitumia DVD kuboot obvious utafail.
  5. You can comeback for more consultations. But prepare some few consultation fees !!!

  From ICT Doctor.
   
 7. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #7
  Jan 18, 2011
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
 8. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #8
  Jan 18, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,807
  Trophy Points: 280
 9. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #9
  Jan 18, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Je haiendelei bila kutoa ujumbe wowote.?
  Ni laptop model gani na brand gani?

  Unaposema unahamisha HDD kwenye mashine nyingine unaa maana gani.? Sidhani kama maelezo yako yamekamilika na ni sahihi. Mara nyingi ukihamisha HDD kwenye mashine nyingine haiwezi kuboot tu moja kwa moja kama kawaida. kwanza BIOS lazima itagundua/igundue kuwa kuna changes za configutaion za HDD name au ID.

  NB
  jaribu kufafanua . Unajua watu wakiwa mbali maelezo inabidi yawe yana details zaidi.
  Otheriwise wakati unasubiri jibu google your problem
   
 10. Azadirachta

  Azadirachta Senior Member

  #10
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Made in Shanghai, China ni tatizo sana!
   
 11. Msolo

  Msolo JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 851
  Likes Received: 654
  Trophy Points: 180
  Hello Obsever2010, nashukuru sana kwa msaada though sijafanikiwa ila najifinza alot, thnx much.
  Baada ya kupress F11, hakuna kilichotokea screen ipo blank tu..nothing is progressing.
  This machine is Dell Latitude D600,
  1.5 Ghz, 512 MB ram, 80GB HDD,
  Nilichoona inaweza kuwa ni tatizo ni connection za HDD, b'se I used the same HDD to the same kind of machine with same specification ikaboot vizuri, wat do u think Mr..
   
 12. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #12
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Amesema laptop yake haingii kwenye madirisha.
   
 13. Observer2010

  Observer2010 Senior Member

  #13
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  1. Msolo,

   Hope u can synchronise with me when I comment in english, sometimes it takes me easier to explain technical issues using with this foreign language. Basically, I have realize that obvious your laptop has got hardware problem. Check if all buses are well connected and also check if there is excessive dust in your laptop. Dust can cause several problems if it is in excessive, otherwise it may have one of the following problems.

   1. Overheating
  When a laptop is overheating, it will not pass startup or it may freeze during startup and shut down to prevent any further damage. Check the function of the cooling fan or improper laptop ventilation during startup.

  2. Bad Memory

  Bad memory can cause freezes during startup, random crashes or complete failure to boot. If your laptop is able to make it past the startup page, you can test your memory using memory testing software. On the other hand, if your laptop freezes completely and crashes, the only way to remedy bad memory is to replace it.

  3. Bad Capacitors

  A capacitor is a cylinder-shaped object that is similar in size and look to a battery. Once capacitors go bad, a laptop will crash or freeze during startup. Moreover, during startup, a laptop may fail to boot or randomly reboot itself. Physical signs of bad capacitors are brown leaking fluid from the top of the capacitor or unevenness between the capacitor and the motherboard.

  Hope ur problem may be due to above mentioned causes.

  Cheers.
   
 14. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #14
  Jan 19, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Unajua unaaazia kuelezea tatizo kat kati.

  Before Nini kilitokea mpaka utake kufanya installation mpaya ?????

  • Ulidondosha ikakataa kuwaka tena. teh teh teh May be kwenye "Ubao mama" kuna kitu kimekuwa Loose.
  • Ilikuwa inafanya kazi vizuri tu ulikuwa una upgrage OS .
  Kuwa muwazi ukisema akuna kichotkea kwenye screen ina maana hioni maandishi yeyote yale??. kama hivyo inawezekana labda screen yako imekufa jaribu ku connect exrenal Monitor.
   
 15. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #15
  Jan 19, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0

  Stop plagrasizng other peoples work and and not mentioning sources shame on you

  Or are u the editor of ehow.com?
   
 16. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #16
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Nafikiri tatizo laweza kuwa ni Battery.

  Jaribu kwenda kwenye BIOS (wataalam saidieni ni button zipi maana sizikumbuki) na huko fanya marekebisho ya Tarehe, i-boost kwa kuanzia kwenye HDD kwanza na baadaye ihamie kwenye CD-ROM.
  Ukimaliza kumbuka ku-save na ndipo u-exit.

  Nina Computer yenye tatizo hilo na huwa liko safi kama waya wa umeme uko kwenye Computer. Nikifyatua au kuzima umeme na kutowa waya au umeme ukizimika, basi huwa haiwaki hadi kubadili data kwenye BIOS na ndipo inawaka.

  Samahani mie siyo mtaalamu ila huwa narekebisha matatizo madogomadogo mwenyewe.
   
 17. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #17
  Jan 19, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Observer ona sasa unasema
  Kumbe umecopy n kupaste kazi za watu bila kubadilisha hata nukta huku ukijitapa.

  Kweli jf hapa kuna vituko
   
 18. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #18
  Jan 19, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Msolo vipi mbona hueleweki nashindwa hata kuelewa the source of the problem kulingana tu na maelezo yako weka tatizo lako vyema utasaidiwa...
   
 19. Msolo

  Msolo JF-Expert Member

  #19
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 851
  Likes Received: 654
  Trophy Points: 180
  Thanx guyz, am workin on it!
   
 20. achengula

  achengula JF-Expert Member

  #20
  Jan 20, 2011
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 386
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Bwana Sikonge, nina laptop yenye shida kama hiyo yako na nimiacha kuitumia na kununua nyingine mpya. Hiyo nilinunua used ni Toshiba Satellite 160A na betri yake ilikuwa inaisha haraka sana nikiitoa kwenye umeme. Nimeitumia kama miezi mitatu hivi, ghafla tu siku naiwasha ikiwa kwenye umeme charge yake ikawa inapungua hadi kuzimika ikiwa kwenye charge. Ukiizima ukaicharge inajaa ukiiwasha tu ikiwa kwenye charge ukianza kutumia charge inaanza kupungua hadi inazima. Sijajua tatizo lake ni nini hadi leo, nilimplekea fundi mmoja akashindwa kujua nini tatizo akataka kuinstall window mpya akashindwa kwani ilikuwa inazima katikati. Nikaambiwa pengine imexpire, sasa sijui ni kweli au ni nini tatizo kama kuna mwenye idea anaweza nisaidia.
   
Loading...