Tips on technical troubleshooting . Do it youself approach

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Wanajamvi mara nyingi nimekuwa naona wanajamvi wanaleta matatizo wakiomba kusaidiwa. Uzuri wa jamvi hili tunkutana watu wenye uelewa , uwezo, na profession tofauti tofauti.

Lakini binafsi kama Junior IT profession sipendi kuona nimetatua au kuwashauri kutatua matatizo madogo madogo watu .Napenda kuona watu wanajua jinsi ya kutatua matatizo madogo madogo wenyewe.

Kwa hiyo nashauri iwe ni configutaion ya simu kupata internet computer/laptop au just laptop ina tatizo fulani kuna vitu tunawweza kuajribu kufanya wenyewe hata kama hatuna utaalam.

1. RTFM

kanuni ya kwanza kwenye troubleshooting inaitwa RTFM( Read The ****ing Manual)
Kuna article nimesoma 80% ya matatizo watu wanaypata kuhusu kompyuta yanaweza kutatuliwa kwa RTFM. soma http://www.readthe****ingmanual.com/

Binafsi pia huwa navitupa vitabu vya simu au vifaa vingine lakini uzuiri siku hizi kuna internet vinaweza kupatikana kwenye WWW( Internet)

2. MANUFACTURER WEBSITE

Tembelea tovuti ya watengenezaji( manufaturer) wa bidhaa husika. Nenda kwenye kipengele cha support na troubleshooting . Mfano Nokia kwenye tovuti yao wana common problem na solution ya issue nyingi kulingana na brand. Kama ni laptop kabla ya kutafuta suluisho kwa third party kama mtazamaji, au driver kutoka tovuti ya CNET ni vizuri kwanza ujaribu kwa manufacturer. Kama tatizo ni internt ya zain je umepiga customer service???? Ni vizurimtu anapoleta tatizo awe amejaribu hii na aseme ameshindwa nini

3.Google it.( Search it)

Kwa kutumia google na search engine nyingine siku hizi mtu unaweza kuwa mtaalam wa kila kitu. Unachoitaji ni kuwa na muda wa kusoma na kuchambua mchele na pumba na kuzifanyia kazi.

Kupitia google unaweza kujua gearbox ya AIrbus au Boeing inafanyaje kazi. Kupitia Youtobe unaweza kuona rubani wa ndege ana fanya nini akiwa kwenye ndege au ni kitu gni kinafanya ndege ipae au ndege inafanyaje kazi hatakama hujawai kuiona.
Through intenet you can be well infomred in evertything if not anything ........

But kama huna muda we are happy to googgle it for you.

Changamoto

Ni vizuri tukileta matatizo basi tuonyeshe japo tumejaribu kufanya nini regadrless of knowledge yetu kwenye subject . Na vile vile zidi ya matatizo ya Help desk support ambayo ni mengi hapa tunaweza kupeana changomoto zaidi.

Pia tujitajidi kuwa specific kwakuta detail za OS ,hardware na mdel ya vifaa vyenye matatiza.Mfano kusema nataka driver za HP mtu atauliza za OS gani? mwingine atakuja kuuliza driver gani utasema za network . Nitazidi kuuliza kadi yako ya network ni model gani. Utasema ni Broadcom au nextreme gigabit.

Kwa kuwa specific na kutoa detail zaidi unapnguza mlolongo wa maswali na kuongeza idadi ya majibu utakayopata

Nawasilisha mada iko wazi kwa kuponda,kuongeza kurekebisha ,kukosoa ,etc

teh teh teh

Teh Teh Teh
 
Mkuu safi sana ila topic yako haija acha mwanya wa kuuliza swali kwakuwa umeweka kila kitu wazi.big up mkuu ila ukipata muda naomba ufafanuzi wa os na zingine.
 
Back
Top Bottom