Nahitaji zaidi ya msaada! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji zaidi ya msaada!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mwendabure, Mar 10, 2011.

 1. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,056
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Waungwana salam! Mimi ni kijana mwenye elimu ya darasa la saba nipo Dar. Napenda TEKNOHAMA (Teknolojia ya habari na mawasiliano) kiasi nimeweza kujifundisha kutumia kompyuta si haba! kwa msaada wa kibarua mwenzangu na juhudi binafsi nilifanikiwa kununua kompyuta (laptop)kuukuu ambayo inaonyesha dalili zote za kuchoka kabisa. Basi waungwana naomba mnifahamishe ni aina gani ya kompyuta itanifaa na ikiwezekana na mahali muafaka ambapo nitapata pia maelekezo na ushauri wa ziada kwa kuzingatia uchanga wangu ktk ulimwengu wa kompyuta na elimu ya kutosha ya darasani. Kwani kila ninapoenda sipati msaada ninaohitaji zaidi ya wahusika kuwaka tamaa na uchu wa fedha zangu na kutaka kunibambika 'kimeo' hasa baada ya kuwaeleza wazi kuwa sina weledi sana ktk mambo ya kompyuta. Nahitaji msaada wenu na natanguliza shukrani za dhati!!
   
 2. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu, ili tuweze kukusaidia unge tuambia bajeti yako ikoje ili tuweze kukushauri kulingana na kiasi cha pesa ulicho nacho....


  Mkuu, hata siku moja usifanye kitu ulicho kifanya cha kuwaeleza wafanya biashara kiwango chako cha elimu, wao wako kibiashara zaidi, wanaweza kutumia mapungufu yako kujinufaisha kibiashara...

  Siku nyingine ukihitaji vitu kama hivi unapaswa kumtafuta mtu ambaye anaujuzi navyo, ambaye unaweza kuenda nae kuchagua...
   
 3. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ningekushauri uende chuo kuna vyuo vingi sana vya kufundisha computer na kutengeneza hapo utapata elimu ya kutosha kabisa kuanzia hapo utaweza kupata ufahamu ata wa laptop unayoitaji kwa ss vumilia na hicho kmeo walichokupiga nacho ucwe na papara ss tulia kasome kisha utakuwa na ufahamu na utoweza kudanganywa tna
   
 4. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,056
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Bajet yangu kaka ni laki 4 kwa laptop iliyotumika (mtumba)
   
 5. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,056
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Nina mpango huo kaka ila nadhani itakuwa vema kama nitakuwa na kimeo changu cha kufanyia mazoezi japo. Asante kwa ushauri.
   
 6. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  1.6 ghz intel celeron,1Gb of ram,40 or 80 hdd,nadhan kwa hyo bei unaeza ukapata,heb chek jukwaa la matangazo madogo madogo mkuu..
   
 7. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,056
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Nhmekusoma.. Aksante sana.
   
Loading...